samilakadunda
JF-Expert Member
- Oct 13, 2011
- 1,780
- 360
Nimekuwa nikiona watu wengi wakilalamika yakuwa majina yao yaliabadilishwa na walim wao shule za msingi, mfano Kimario- kimaryo, moshi-mushi, helen - hellen, nicholaus -nicolas, Mc-conan _makikonani .hebu endelea kama nawewe ni muhanga wa hili