JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamaa alikuwa beach, Mzungu akapita akamuuliza"are u relaxing?" Jamaa hakuelewa akajibu NO,akapita mwingine akajibu vilevile Akaona usumbufu akasogea mbele ufukwen,akamkuta mzungu m1 akamuliza...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
habar za mchana wadau? Naomba anayejua nyimbo nzur za taratibu anipe majina hizo nyimbo na walio ziimba! Thankx, have a nice day!
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Mtoto: Baba eti ile redio ina spika? Baba: Ndio kwani vipi? Mtoto: Kama inayo spika mbona haina wabunge? Baba: Mh!! Swali gumu mwanangu!!!!!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Football vs Sex. 1. Going to your bf/gf without being invited = OFFSIDE>:/ 2. Dating a girl today and having sex on the same day = FREE-KICK/:) 3. Condom = GOALKEEPER 4.Condom breaks =...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Umemfanya nini Paloma? Mbona kutwa nzima analia?
2 Reactions
271 Replies
12K Views
Bba
Wadau mi nataka kupiga kura ili kuwafanikisha wabongo kushinda ila naomba kufahamisha. BBA ina maana gani, ina vigezo gani kuingia na wanafanya kipi tofauti au cha maana wanapokuwa s. Afrika...
0 Reactions
0 Replies
745 Views
Weekend yetu si nzuri wapendwa...bibie wangu Kipipi hajisikii vema ila namwomba Mungu amponye haraka. Chocs popote ulipo naomba uje umsaidie mke mwenzio. Get well soon my love!
9 Reactions
416 Replies
16K Views
masai alimuona jamaa yake akienda chooni na maji uzalendo ukamshinda akabidi aulize hey! Rafiki mbona waenda namaji chooni kwani muk..uundu iko na kiu.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shekh mmoja aliletewa pensi na rafikiye wa oman kwa ajili ya kuvalia na kanzu! Siku moja alisahau kuivaa akavaa kanzu tupu ,akiwa anapata udhu alikunja kanzu mpaka kiunoni wenzake wakamuuliza e...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndo nimejiunga naombeni ushirikiano wapendwa
4 Reactions
36 Replies
2K Views
Wanafunzi ambao walianza darasa la kwanza mwaka 2002 ni wanafunzi ambao wana bahati sana,walipoanza shule tu ada ikafutwa,walipofika darasa la nne tu kurudia darasa kukafutwa na hatimaye kuibukia...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Hamjambo wanachitchat? Mimi mzima wa afya ila naingia hapa kwa huzuni kubwa. Wapendwa, mtakumbuka kwamba nilikuja hapa chitchat tarehe 9/5/2013 kueleza nia yangu na sababu ya kubadili avatar...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Jamani kupendwa raha kupendwa raha. Penda unapopendwa wajinga wajinga tupa kule. I only want to share with you ccrs. Kwa wale mabroken heart umegawa kidude miahadi kibao jamaa hasomeki piga chini...
3 Reactions
51 Replies
6K Views
Mfano unaitwa Julius Jackson Kangayupo jina ulilopewa na wazazi lakini wengine watakupa majina kama haya watoto watakuita Baba Mkeo atakuita mume wangu wajukuu watakuita babu Wapwa zako...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mi ni kijana wa miaka 21 nipo chuo mwaka wa kwanza nilikuwa naomba mnishauri nitaweza kujipanga vipi katika maisha hasa katika kujitegemea.Wazo langu la kwanza ni kununua kitanda muda si mrefu...
0 Reactions
1 Replies
912 Views
Huu ni mfano wa barua ya mapenzi iliyoandikwa na kijana mhitimu wa kidato cha nne! "me is love u. if u loveng and i will hepi. also when look u i filling my hurt moves fast fast like woch clock...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
wadau kati ya metro, dar express na kilimanjaro express, lipi luxury zaidi kwenda dar kutoka arusha?
0 Reactions
2 Replies
808 Views
Nivea tunakumiss huku jamani.. upo serve number ngapi nije kukupa salamu. "The world will not be destroyed by those who do evil, but by those who watch them without doing anything" By Albert...
2 Reactions
80 Replies
4K Views
How many of yo have best friends? Probably most of you? When was the last time you sent them a song letting them know just how valued they are? teh teh teh lady furahia acha wivu halafu Passion...
7 Reactions
61 Replies
4K Views
1. (-3) – (-4) = 2. (-2)+(-6)-8 = 3. 6+5-(-8) = 4. 4+(-4) = 5. (-60)+7(8-(-2))÷(-5) 6. (-13)+(+11)=...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…