Ukiachilia matangazo ya biashara ( mengi ni ya waganga wa kienyeji ), na hadithi ( machombezo ), habari zote za kwenye magazeti ya udaku zinatoka kwenye blogs na mitandao...
Sim ya kichina sio sim jamani...
Sim imeanguka kidogo tu,
Camera imepasuka,
Redio imevunjika,
Credit zote zimemwagika,
Phonebook imechanika,
Picha zote zimepeperuka,
Na friends zangu wa FB...
jamani tutokapo nyumbani tuakıkıshe tuko kamili katika kila kitu sababu chochote chaweza kutokea
sasa ebu angalia huyo dada aliyokochini tuseme alisahau kuvaa chupi.
haya bana thanks Elizabeth Dominic kwa suprise uliyonipa ghafla, hope salam kwa charminglady na JF wing ya RockCity mtazipata salamu, nawapenda sana
ila usifikishe salamu kwa Chimbuvu
mtoto na baba yake:
mtoto:kwan baba
unataka kuanza tena
shule ya msingi?
baba:kwa nini
mwanangu?
mtoto:jana usiku nilisikia
mama anakuniong'oneza
eti mwende la pili au?sasa
nashindwa...
MUME: "kila siku mie nakushangaa sana mara useme TV yangu, gari langu, chumbani kwangu, watoto wangu.
Sisi ni mume na mke, kila kitu ni chetu, jirekebishe bwana."
Mke akajifanya yupo kimyaaaa...
Jamaa flani Msafishaji wa Ndege
aliokota kitabu kimeandika; 'JINSI YA KUPELEKA NDEGE' wakati anasafisha ndege moja.
Akafungua ukurasa wa kwanza akasoma, "Ukitaka ndege iwake bofya kitufe...
She comes everyday................ comesn't she?
He took you to the hall.............tookun't he?
They are eating each other............eatingn't they?
She drives...
Habari wanajamvi
NINAWAKARIBISHA KWENYE TAMASHA LA UIMBAJI WA UPAKO NA MGUSO WA MUNGU KUKUTEMBELEA USIKOSE JPILI HII YA TAREHE 26/05/2013 PALE
HOUSE OF PRAYERS KINONDONI MKWAJUNI
KUANZIA SAA...
Hii misemo tunagalie na mahali pa kuitumia, nesi anamwambia mama mzazi "hongera kwa kuzaa JEMBE (mtoto wa kiume)" mzazi akazimia hapo hapo kisa kuambiwa amezaa JEMBE
A serious drunk walked into a bar and, after staring for some time at the only woman seated at the bar, walked over to her and kissed her.
She jumped up and slapped him.
He immediately...
Kila verse ningemchana King'asti kwa vile hayupo fair,
uki'PM anajibu PAW is waiting there,
maskini nakonda na kidonda kwa vile una pair, Husninyo chukua password usilete drama kama Thea, lady...
Mke wangu siyo ndugu yangu, na angekuwa ndugu yangu nisingemuoa, na sasa utaoaje ndugu yako; na ingekuwa hivyo ingekuwa ngumu hata kuchiti, hivi kweli umchiti ndugu yako? kinyume chake nihivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.