Hii kauli imekuwa ikisikika sana sehem nyingi hasa sehem zile ambazo tunaenda kwa ajili ya Kupata Huduma Mbali Mbali.
Mm juzi nliingia Bar Moja Maarufu Pale Kinondoni(Uhuru Peak) kwa ajili ya...
Eti jamani!!
Niliambiwa bandari ya Mtwara ina pwani kubwa sana na kina cha bahari ni kirefu kulinganisha na pwana ya Dar, Tanga & bagamoyo.
Mtwara ina gas why hiyo gas isafirishwe bagamoyo? Why...
Mtz,mkenya na mganda walikamatwa na bangi china.wajapewa adhabu ya kwenda msituni na kurudi na matunda kumi.mganda akarudi na ma-apple akaambiwa ameze mojamoja bila kutikisika....la kwanza tu...
WASHA BRENDER
Siku ya kwanza
MUME: Halooo vipi mke wangu salama weye?.
MKE: Salama tu
MUME: Uko wapi?
MKE: Jamani si niko nyumbani
MUME: Mhh kama kweli uko nyumbani washa brender nisikie.....mke...
A guy in a hurry used the ladies 'toiletin a
posh hotel'..
He sat down and noticed four buttons - WW,
WA, PP & APR.
Curious, he pressed WW & his butt was
gently sprayed with WARM WATER, he...
LIST ya wanyakyusa waliozamia USA.
1.Rick ross( eric mwaryosi)
2. Kanye west( kanyetile mwalwesetile )
3. Lady gaga (lidia mwaigagala)
4. Chriss brown( christopher blauntonye
mwakikonyola) 5...
To be happy with a man you must understand him a lot and love him a little.
To be happy with a woman you must love her a lot and not try to understand her at all.
NAY FT DIAMOND ..
SONG: MPIRA GANI?
CHORUS
DIAMOND.
HIVI nyie SIMBA SPORT Mnachocheza
kitu gani,
Mara WATOTO mara Kukosa penati
sasa
ndo mpira gani.
NAY WA MITEGO.
HII ndo Simba SC...
Ulizuka mjadala mreeeefu na mkali kuhusu dili la kupiga hela fasta, kati ya pembe na mikataba, kinana akitetea kwa nguvu zake zote kuwa mambo yote PEMBE, mwisho wa siku jk akajikuta anatishia kwa...
Jamaa alioa kwa furaha nyingi na vifijo na hatimae kuanza kuendelea na maisha yake. Lakini hata wiki mbili hazikupita ndoa ikaanza kuwa chungu maana kila alipokuwa nyumbani mke alikuwa anataka...
habari humu jamvini nimetokea kufurahishwa sana na uamuzi wa my ex husband kuwa amepata jiko jipya kwa moyo mkunjufu kabisa Ynnah karibu ktk ulimwengu wa malovee na bwana judgement ila tuu kua...
Jamaa alikuwa bonge aliona tangazo
limeandikwa : "Punguza kilo 5 kwa wiki"
Akawapigia simu na kuomba kujiunga, Binti:Sawa
uwe tayari hapa ofisini kwetu kesho saa 12 za
Asubuhi..
Siku ya pili...
KALI YA LEO
Mchungaji mmoja kabila mchaga alikua anamuombea jamaa mmoja ili pepo litoke...
mchungaji;pepo shindwa nakwambia leo utanikoma utatoka haleluya
pepo;sitoki wala sikuogopi...
Wadau,nimepata kuskia katika kituo flani cha redio nchini kenya wanaume wakipiga simu na kukiri kuwa walibubujikwa na machozi baada ya kuangalia hatma ya kipindi almaarufu kwa jina IN THE NAME OF...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.