JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
0 Reactions
0 Replies
983 Views
Nilikutana nao Club, hebu watambueani...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
KUNA WIZI UMETOKEA BENKI KUU •••••••••••••••••••••••••••••• ••••• Jambazi "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu",wote wakalala chini ... HII INAITWA DHANA YA...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama ingekuwa ni ugonjwa ningesema nakaribia kukata kauli kwa jinsi mapigo ya moyo yanavyonienda mbio nimuonapo binti huyu. Arabela nakupenda sana nipe pumziko ndani ya moyo wako. Ni jambo lipi...
3 Reactions
148 Replies
8K Views
Minaona kilamtu agawanyiwe sehemu yake kuliko hivi wachache wanavyofaidi wenyewe Nipewe gold zangu 2 silver 2 tanzanite zangu 2 tembo wangu 2 nyumbu wangu 2 shama langu ekari 2 sijui bahari...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii imetokea leo maneo ya Ubungo Urafiki ambako kuna kanisa la wazi na jamaa alikatiza hapo na kanzu na kumuona mshikaji wake ambaye ni mlinzi, ile jamaa anamsogelea tu kumsalimu waumini wakatika...
2 Reactions
40 Replies
5K Views
Jamaa watatu wamefanikiwa kufika kwenye kisiwa kisicho na watu wala kisichojulikana baada ya boti yao kuvunjwa na upepo mkali baharini. Ghafla wakaokota nyupa, ile chupa ikatoa sauti: "Kila...
6 Reactions
74 Replies
4K Views
Leo wakati najiandaa kwenda kibaruani kwangu nikakumbuka vitu vingi vilivyowahi kupita katika maisha yangu na its a nice memory asee; Brands kama hizi; Bodyline/Vaseline - Haya ndio yalikuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
KUNA WIZI UMETOKEA BENKI KUU •••••••••••••••••••••••••••••• ••••• Jambazi "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu",wote wakalala chini ... HII INAITWA DHANA YA...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KUNA WIZI UMETOKEA BENKI KUU ••••••••••••••• -••••••••••••••• -••••• Jambazi "wote laleni chini pesa ni za serikali na maisha ni ya kwenu",wote wakalala chini HII INAITWA DHANA YA...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimefikisha miaka 18 leo......sasa nina ruhusiwa kupata haki zote za msingi kama adult........Jumapili njema......wakuu
1 Reactions
194 Replies
9K Views
0 Reactions
1 Replies
988 Views
KITENDAWILI....! Chautundu ni kijana mdogo, hana miguu lakn anasimama, hali chakula lakn anatapika, hana mikono lakn anachapa mtu mpaka analia, ni kijana mdogo kiumbo lakn hurefuka na kunenepa...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Leo nimechekaje,.!? Kuna jamaa jinga kuona gari la TIGO kajificha kisa alikopa muda wa maongezi na hajarudisha!
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Siku ya kwanza MUME: Halooo vipi mke wangu salama weye?. MKE: Salama tu MUME: Uko wapi? MKE: Jamani si niko nyumbani MUME: Mhh kama kweli uko nyumbani washa brender nisikie.....mke akawasha...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamaa karuhusiwa kutoka hospitali ya vichaa, akapandishwa kwenye ambulance hadi karibu na kwake, akaulizwa unapakumbuka kwako? akajibu ndio nyumba yangu ileee, wakatoka watoto wawili wamevaa...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Kwa wale wadau wa JF na member wa eo Tupo Hapa Pub. Tangazo hili ni kutaka kuwafahamisha kwamba, mnamo tarehe tajwa hapo juu tukutane pale Leo Tupo Hapa Pub kwa ajili ya kumpa pole na kumfariji...
17 Reactions
311 Replies
14K Views
Samahan kwa usumbufu najua nyie ni muhimu sana kwangu tena bila uwepo na maombi yenu nisingefika hapa nilipo na tena mara nyingi huwa mnanishauri mema siku zote na matumain yangu kwny hili...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
cc Preta...Cantalisia...na wengineo.. kama kweli unampenda..utamnunulia.. TANMO. Rejao
0 Reactions
2 Replies
847 Views
Msiniulize kwa nini..... Copy: The secretary.....mke wangu nashukuru kwenye begi uliniwekea bullet proof jackets za kutosha,vinginevyo tungeishia angaza!
5 Reactions
76 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…