Leo ni siku yangu ya kuzaliwa........bia soda na nyama nitawa update badae

Leo ni siku yangu ya kuzaliwa........bia soda na nyama nitawa update badae

Tonykp

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2012
Posts
1,642
Reaction score
680
Nimefikisha miaka 18 leo......sasa nina ruhusiwa kupata haki zote za msingi kama adult........Jumapili njema......wakuu
 
Kumbe ulikuwa under 18? Karibu kwenye umri wa kuchagua kipi cha kuacha kipi cha kufanya, Happy Birthday to you.
 
Nimefikisha miaka 18 leo......sasa nina ruhusiwa kupata haki zote za msingi.

Kumbe kushinda wote jukwaa la wakubwa umri wako ulikuwa bado?
Ushanikera sasa.
BTW HAPPY BIRTHDAY Tonykp.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe kushinda wote jukwaa la wakubwa umri wako ulikuwa bado?
Ushanikera sasa.
BTW HAPPY BIRTHDAY Tonykp.

Nikwambie kitu Madame B I'm not 18 nawazingua tu usije ukaninyima ma lavi davi bure.........
 
Last edited by a moderator:
Nimefikisha miaka 18 leo......sasa nina ruhusiwa kupata haki zote za msingi kama adult........Jumapili njema......wakuu

karibu utu uzimani, ila club mpaka 21
 
Back
Top Bottom