JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
habari wana CC salamu zangu kupitia hii Afrcan medley tufurahi pamoja...... tukiwa na stress free weekend
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Et wana chit chat nisaidieni hichi ninachojiuliza! Inakuwaje unaamka asubuh ukitoka tu! Unakuta NJE hakupo? je patakuwaje unavyofkir?? Cc; Baba V cacico Chocs gfsonwin Bujibuji snow White...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Erotica aliniaga hapa Arusha kwamba anakwenda kumtembelea college-mate wake Boflo. Aliondoka 1/5/2013 na mpaka leo hajarudi. Boflo aisee nionee huruma mimi kubaki na mapacha na msichana wa kazi...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
:: My love for you is like diarrhea I can't hold it. :: 24 sweet hours Make 1 sweet day, 7 sweet days Make 1 sweet week, 4 sweet weeks Make 1 sweet month, 12 sweet months Make 1 sweet...
2 Reactions
60 Replies
11K Views
M'funzi:eti mwl ukchanganya sabun ya omo na foma linatoka povu?Mwl kwa hasira ndio,mwan,utapataje povu bla maji? Mwl hoi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Employee: you called me boss? Boss: yeah,go to the restroom and masturbate. (after few minutes) Employee:I have done it boss Boss:do it again Employee:done it again sir. Boss:do it again...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Yafuatayo yalikuwa ni mazungumzo ya simu kati ya kijana na mpezi wake wa kike: BINTI:Hallow Honey bosi ananitongoza anasema yupo tayari kunipa dola 10000 anadai atazidondosha chini yaani kitendo...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
wadhamini jitokezeni kudhamini mpambano huu wa HOME and AWAY.timu ya mara 1.marwa 2.mwita 3.wambura 4.masatu 5.kyaro 6.makongoro 7.korong'anya 8.nyamryakung'e 9.gwata obhike 10.kisika 11.magati...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SWAGA ZA POLISI AKITONGOZA: Unajua Darling nakuthamini zaidi ya POSHO na MSHAHARA, bila wewe siwezi kuishi, ni sawa na kukosa BUNDUKI eneo la tukio, Nitakueshimu kama LINDO, wewe ni IGP wa...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Hata KISU,WEMBE,NA PANGA vina kata lakin havina MADIWANI.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Maisha ya boarding.Nakumbuka. Sabuni ilikata, nikaenda bafuni kama kawaida kutafuta vile vipande vidogo vidogo vilivyo bakishwa na wenye nazo. Bahati nzuri nikapata mara balaa akatokea jamaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana JF nimebadili mkoa sasa ninapatikana Dar wakina Mungi na wengineo wengi ninawageni sasa habari za Lema nitazipata toka kwenu, huku nitawapa habari za watu kujirusha gorofani na...
1 Reactions
46 Replies
3K Views
Leo ni jioni njema kwani nimekutana na binti mrembo wa Arusha aitwaye Mamushka. Kweli Jf connecting people... hongera mamaa Mamushka cc Preta
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Lile jinamizi lililokuwa likimwandama Baba V mara kwa mara sasa limetoa maambukizi na mmoja wawaathirika wa maambukizi hayo ni dada yetu kipenzi sweetlady. Pole sana bibie. sweetlady Banned...
10 Reactions
211 Replies
9K Views
Mfano Kuku, Keki, KITUMBUA, Kalimati pamoja hicho unalichokifikiria kingekuwa kwenye orodha hii. Na si kingine ngoja nikitaje live sasa KULALA. Ongezea na wewe kama kipo kingine uone...
2 Reactions
110 Replies
18K Views
mwisho wa wiki hii nitakuwa mjini kwenu nataka mnijulishe viwanja muhimu Moro kuvitembelea kufurahia hizi siku chache tulizo pewa hapa Duniani, wenyeji nipeni majina ya viwanja. Msijeniambia...
0 Reactions
3 Replies
768 Views
Wana Chit-chat wenzangu naomba sala zenu niko njiani kutoka Dar kwenda Mnz, Wale wa Mnz nikaribisheni mi mgeni wenu
0 Reactions
7 Replies
809 Views
Dear Mwl,tangu uondoke hali hapa Tanzania imebadilika: siku hizi mlima kilimanjaro upo Kenya,Ziwa Nyasa liko Malawi,Tanzanite iko Kenya,Tanesco ni ya mtu binafsi,pia Rais wetu siku hizi anaishi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Eti kuna umuhimu wowote wa member wa jf kujulikana angalau na member mwingine ili endapp litatokea la kutokea tupate taarifa? Kwa mfano mimi hakuna mtu yeyote anayejua kama id hii ni yangu...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…