Et wana chit chat nisaidieni hichi ninachojiuliza! Inakuwaje unaamka asubuh ukitoka tu! Unakuta NJE hakupo?
je patakuwaje unavyofkir??
Cc; Baba V cacico Chocs gfsonwin Bujibuji snow White Asprin babu
n.k n.k
na wengine weengi!!
Nisaidien jibu!!!!!!!!
Kama nje patakuwa hakupo, ofcoz na ndani hapatakuwepo! Refar hapo wewe unapopaita ndani, hapo kabla palikua nje! (kiwanja)
Jibu sahihi ikijiri hivyo utakua ahera! Fullstop.
Kama nje patakuwa hakupo, ofcoz na ndani hapatakuwepo! Refar hapo wewe unapopaita ndani, hapo kabla palikua nje! (kiwanja)
Jibu sahihi ikijiri hivyo utakua ahera! Fullstop.
Nje na Ndani ni kielezi cha mahali, vilevile huwezi kutaja moja ya sehemu hizo mbili ikiwa nyingine haipo.
Hivyo kama ndani kupo basi nje kutakuwepo, otherwise hutaweza kufanya hiyo imagination
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.