JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Bangi si mchezo! Jamaa kaikoleza si ikamtuma avue nguo! Akavua nguo zote akaenda kwenye kioo, kujitazama akaona kama kavaa suti! then akaenda kama alivyo kwa masela wenzake akawauliza vp...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Halo Wanachitchat! Nawasalimu wote! Kabla ya kusoma hii thread, bila shaka utakuwa umeiona avatar yangu mpya.Usishangae, nimeichagua kwa kuipenda sana. Unajua, inafika wakati unaichoka avatar -...
5 Reactions
24 Replies
2K Views
KUTOKA NAMBA: 40 UJUMBE: Mpendwa mteja! Hongera umechaguliwa kuwa kwenye huduma ya Airtel Premier. Tafadhali zima na kuwasha simu yako uweze kuona AIRTEL PREMIER kwenye kioo cha simu. Ni nini...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Haya haya kumekucha wana cc tupige kura kuchagua kapo inayoongoza kwa ucheshi,uaminifu,upendo,kuvumiliana,kuwa intact muda mrefu,ili mradi iwe ni kapo ya mfano cc.Kwa kuwa mimi sio mtaalam wa...
10 Reactions
655 Replies
28K Views
Msipotufagilia tutajifagilia wenyewe allas!! Kitu chako unapaswa kupewa wakikucheleweshea chukua mwenyewe kwani ni haki yako! F4G1L14!!! NEED WE SAY MORE?
8 Reactions
194 Replies
10K Views
Kati ya hivi kipi ni ujinga? 1:Kuweka majani ya chai kwenye sprite ili iwe Cocacola? 2:Kufikiri mzungu ana kimvuli cheupe? 3:Kudhani kuwa kunawakala wa facebook pesa? 4:Kumkimbia simba...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Anayebisha aseme........ Kopi: wanawake wote wa chitchat.
1 Reactions
96 Replies
5K Views
THINK ABOUT THIS FOR A MINUTE. 1. If I showed up on your doorstep crying would you care? 2. If i called and asked you to come and pick me up because something happened, would you come? 3. If...
4 Reactions
43 Replies
3K Views
Enzi hizo mdundiko ukipita hata mtaa wa sita utalikisia tu timbili lake. Mama anaacha sufuria jikoni anajitosa kwenye mdundiko. Baba alikuwa chooni anakata gogo , kutokana na utamu wa mdundiko...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Jamaa kafumaniwa na mke wa mtu,akapigwa lakini akaweza kuchomoka uchi mpaka kwake.. MKE:Hee kunani?Mbona hivyo? MUME:Majambazi mke wangu wamenikamata,wameniibia kila ki2 mpaka nguo na kunipiga...
4 Reactions
5 Replies
5K Views
walevi wa3 walikodi bajaji ,dereva alipoona wamelewa sana aliwasha bajaji alafu akaizima.mlevi wa kwanza alisema asante kwa kutufikisha,wapili alimpa hela ,watatu alimpiga kofi dereva akamwambia...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mzungu alifiwa na mbwa wake akampeleka kanisani ili aombewe,padri akamkaripia kwa ukali hatuombei mbwa hapa! Mzungu akauliza ni kanisa gani wanaombea? Kwasababu nina sadaka ya million 5 kwa padri...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba uniandikie ulichosoma hapa! kimeandikwa kwa kiingereza cha kuficha ficha. 7H15 M3554G3 53RV35 7O PR0V3 H0W 0UR M1ND5 C4N D0 4M4Z1NG 7H1NG5...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Baba: Unamjua Nyerere? Mtoto: Simjui Baba: Pumbafu wewe, kuwa makini na masomo yako utafeli mitihani. Mtoto: Baba, unamjua Hamis? Baba: Simjui Mtoto: Pumbafu wewe, kuwa makini na ndoa...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ankara (bill) ilivyomchanganya Massawe. Massawe alikwenda baa na marafiki zake kupata kinywaji, baada ya kumaliza starehe, ankara ikaletwa ikiwa hivi:Manka shs 35,000 Marieta shs 20,000 Kekuu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kuna mlevi mmoja alikuwa ANAKOJOA mara ghafla AKAJA*BA,,,,,mwenzake akashangaa sana na kumuuliza, VP TENA???,,,,,akamjibu,UNASHANGAA NN WAKAT MVUA IKINYESHA C LAZIMA IPIGE NA RADI!!!!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
"Naiombea chupi ya mume wangu,naitakasa kwa damu yako BABA YESU.Anapotoka katika nyumba hii,ivaliwe hapa na kuvuliwa hapa tu.Kama ataivua sehemu nyengine tofauti na hapa nyumbani ,Bwana YESU iwe...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwenzenu sijui ni macho yangu tu au ushamba labda..... nimekutana na hizi picha mahali..... Eti macho yangu yananiambia hizi picha zote BEFORE ni better than AFTER sasa najiuliza hiyo deki ni ya...
11 Reactions
225 Replies
17K Views
hello wana jamvi baada ya kupotea kwa muda sasa nimerudi tena
0 Reactions
5 Replies
890 Views
kuna masai mmoja alipanda gari walipo fika kati ya safari wakaambiwa wakachimbe dawa.masai akaenda haja kubwa baada ya kumaliza akachukuwa majani akachambia kumbe majani yale ni ya kuwasha kurudi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…