alichofanya huyu jamaa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

alichofanya huyu jamaa baada ya kufumaniwa na mke wa mtu

oduko

Senior Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
169
Reaction score
56
Jamaa kafumaniwa na mke wa mtu,akapigwa lakini akaweza kuchomoka uchi mpaka kwake..
MKE:Hee kunani?Mbona hivyo?
MUME:Majambazi mke wangu wamenikamata,wameniibia kila ki2 mpaka nguo na kunipiga
MKE:Naona wamekuvalisha na condom
MME:Aah condom nmenunua kujistiri baada ya kujiona niko uchi kabisa.
 
Hahahahha hhaah jamani uongo kazi nimecheka kweli kajisitiri na anajali haha

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Hahaha si angenunua chupi kwel uongo noma
 
Back
Top Bottom