Fikra ngumu;
Naomba kufahamishwa kwanini tigo -pesa na m-pesa hawaruhusu " overdraft "....... ! Ili hali namba zetu za simu tumezisajili na wanafahamu wapi pa kutupata kama tusipoonekanaa ...
Vichaa waliambiwa watengeneze TV kwa kutumia maboksi. Siku ya kuleta TV vichaa wote wakaleta maboksi kasoro mmoja aliyekuja na karatasi. Dokta akahisi amepona akamuuliza wewe vipi mbona umeleta...
Kwa tukio hili, vijana wa mjini wanasema; kimenuka! Hivi karibuni wanawake watano ambao majina yao hayakuweza kufahamika mara moja walinaswa usiku mnene wakifanya mapenzi na wanaume wawili kwenye...
Ama kweli mjini shule! Binti mmoja alikuwa akitaka kumuingiza mjini bwanake mmoja. Akatuma meseji hivi: "Baby ninataka kununua jeans moja nzuri lakini tatizo nimesahau pochi nyumbani." Baada ya...
Watu wawili walikuwa wameiba maembe katika harakati za kukimbia wakakibilia chumba cha kuhifadhia maiti bila kujua,na kwa bahati mbaya ilikuwa usiku na umeme ulikuwa umekatika jamaa wa mochwari...
My ATM balance tells me, my account has Tshs 6500/=,but I know this figure is provisional. Besides,end month is my stronghold and once it is tallied, the figure will change. For now the ATM has...
Wk ijayo ntakualeave kjobuni kwangu fo2wk. Nimeamua safar ii nikapate upepo wa karafuu pande za zenji.
Raiaa upo uko, nipokeeni aisee coz itz my 1st tym kudrop anga izo.
Km kunameng funguka...
Hii ni kali ya mwaka! ni kisa cha dada mmoja sister duu!. kilichotokea jijini Dar, dada huyu akiwa amevalia vilivo kimtoka wakidaslam(vimodos), walitoka na Bf wake weekend moja wakaamua kwenda...
teja alikuwa anamtongoza mzungu,maongezi yalikuwa kama ifuatavyo;
Teja;i love u
Mzungu;i love u too
Teja;i love you three
Mzungu;wots for?
Teja;i love you five
Mzungu;are you sick??
Teja akaona...
Kuna majambazi walifanikiwakuingia Bank na kuiba Pesa nyiingi,na kufanikiwa kutoroka, wakafika sehemu wakaanza kuzihesabu, hadi wakachoka kuhesabu! Mmoja akawambia"Oyaa mi nimechoka,tusubiri...
binti kaenda kutambulisha mchumbawake kwao. alipofikatu baba akaona dosari, maana kijana alikuwa mweusi tii,anamatege yaukweli na makengeza ya maana. achumba alipoona sura ya babamkwe imebadirika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.