JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Fikra ngumu; Naomba kufahamishwa kwanini tigo -pesa na m-pesa hawaruhusu " overdraft "....... ! Ili hali namba zetu za simu tumezisajili na wanafahamu wapi pa kutupata kama tusipoonekanaa ...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
mabinti watatu wote mnajishtukia mna mpenzi mmoja halafu mnaitana majina mabaya mazito. Itaneni teammates mtatue hilo tatizo.
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Twanga Pepeta nakwenda safarii... (Msafiri Diouf) Ewe Mungu wangu, unipe uwezo Safari yangu, nifike salama Nifike salama, nikamuone Nelly Kusema kweli Nelly nakupenda Niko tayari kubadili...
2 Reactions
3 Replies
3K Views
Poleni sana simba, nasikia ndivo walivotenda hivi hao Liboloooo
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani naskia chuo cha kampala kilichopo Gongo la mboto kina malecturer waganda tu.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hata Ndege Ana Makinda lakini aongozi Bunge. Ni kweli au sio kweli?
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Vichaa waliambiwa watengeneze TV kwa kutumia maboksi. Siku ya kuleta TV vichaa wote wakaleta maboksi kasoro mmoja aliyekuja na karatasi. Dokta akahisi amepona akamuuliza wewe vipi mbona umeleta...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwa tukio hili, vijana wa mjini wanasema; kimenuka! Hivi karibuni wanawake watano ambao majina yao hayakuweza kufahamika mara moja walinaswa usiku mnene wakifanya mapenzi na wanaume wawili kwenye...
2 Reactions
5 Replies
4K Views
Ama kweli mjini shule! Binti mmoja alikuwa akitaka kumuingiza mjini bwanake mmoja. Akatuma meseji hivi: "Baby ninataka kununua jeans moja nzuri lakini tatizo nimesahau pochi nyumbani." Baada ya...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Watu wawili walikuwa wameiba maembe katika harakati za kukimbia wakakibilia chumba cha kuhifadhia maiti bila kujua,na kwa bahati mbaya ilikuwa usiku na umeme ulikuwa umekatika jamaa wa mochwari...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Napenda sana kuchat ndugu zangu so nawakarbsha wote.....I hope na mimi nakaribishwa pia si etiiiiiiiiii eeeeeeeee!
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Majambazi walivamia kanisa wakasema tunawaua waumini wote na tunafuata alfaphet, wakamuuliza mchungaji anaitwa nani? Akasema Zosefu Zohana mzee wa kanisa , naitwa Zobadia Zamwel, mwalim wa...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Flame Tree Lounge A central meeting point in Dar es Salaam Nivea let us meet at Hyatt Regency The Kilimanjaro Hotel Flame Tree Lounge at 6PM
5 Reactions
57 Replies
3K Views
My ATM balance tells me, my account has Tshs 6500/=,but I know this figure is provisional. Besides,end month is my stronghold and once it is tallied, the figure will change. For now the ATM has...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1. Daktari anakuombea uumwe. 2. Wakili anakuombea upate kesi. 3. Mtengeneza majeneza anakuombea ufe. 4. Polisi anakuombea uwe mhalifu. Cha kustaajabisha Mwizi ndo anakuombea ufanikiwe
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wk ijayo ntakualeave kjobuni kwangu fo2wk. Nimeamua safar ii nikapate upepo wa karafuu pande za zenji. Raiaa upo uko, nipokeeni aisee coz itz my 1st tym kudrop anga izo. Km kunameng funguka...
0 Reactions
0 Replies
835 Views
Hii ni kali ya mwaka! ni kisa cha dada mmoja sister duu!. kilichotokea jijini Dar, dada huyu akiwa amevalia vilivo kimtoka wakidaslam(vimodos), walitoka na Bf wake weekend moja wakaamua kwenda...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
teja alikuwa anamtongoza mzungu,maongezi yalikuwa kama ifuatavyo; Teja;i love u Mzungu;i love u too Teja;i love you three Mzungu;wots for? Teja;i love you five Mzungu;are you sick?? Teja akaona...
2 Reactions
12 Replies
3K Views
Kuna majambazi walifanikiwakuingia Bank na kuiba Pesa nyiingi,na kufanikiwa kutoroka, wakafika sehemu wakaanza kuzihesabu, hadi wakachoka kuhesabu! Mmoja akawambia"Oyaa mi nimechoka,tusubiri...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
binti kaenda kutambulisha mchumbawake kwao. alipofikatu baba akaona dosari, maana kijana alikuwa mweusi tii,anamatege yaukweli na makengeza ya maana. achumba alipoona sura ya babamkwe imebadirika...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…