You can buy "Gold Poop Pills" for $200
When consumed, they will turn your poop sparkly,golden and smell good
Hizi pills zikifika Bongo itakuwa safi
zinafanya kinyesi chako kiwe na rangi ya...
Duh! Wadau huu ugumu wa maisha na wingi wa majukumu umepelekea kusahau kabisa siku hii muhimu sana katika maisha yangu....hii ni hatari aisee. Hadi kufika 2015 tutakuwa tunasahau mambo mengi ya...
Jamani Wadau Na Watu Wote Wanaotoka Mkoani Mbeya tujitahidi kuifanya mbeya yetu ya kijani kwa kutokata miti ovyo,tuhfadhi uoto wa asili,tufanye haya ili kuendelea kutunza hadhi ya JIJI Kubatizwa...
Poleni kwa mihangaiko ya siku ya leo wana CC...
Mwenzenu marafiki zangu sijui waliambizana???
Yaan marafiki zangu wapatao saba (7) ni wajawazito, ngoja niwataje kihivi...
1. Da' KJ
2...
Jamaa mmoja alikuwa na mpenzi wake mwanachuo. Binti ikawa amefika mahali amemchoka jamaa kwa
hiyo akamtumia barua kwamba waachane na ili kuonyesha msisitizo akaituma barua ikiwa na picha
yake na...
I MUST CONFESS,
This is How it started.....
She visited me and I gave her a bed to sleep on.
I asked her to open up so that i can find my way in.
She was so Nervous but i told her that...
vipi wewe..! unamuota mpenzi wako ulie nae?au unamuota x...........:tape2:...kwa wataalam nini siri ya ndoto?na kama humuoti kwa mazuri au mabaya what does it imply?
Imagine,
Nimeamka asubuhi mvua inanyesha,
Kutoka kwangu mpaka kituoni ni kutembea kwa dakika tano,
Nimetafuta mwamvuli ndani sipati kwasababu haujawahi kuwepo,
Haya nimejitolea kuloa kwa hizo...
Nko smwea nikasikia hii kitu.. Eti kuoa kuoa ni kawaida ila kuoa mchaga is an added advantage.. Dah nimecheka sana. Nimefikiria inawezekana ikawa kweli.. Ila siko sure sana. GT'ers is ths true...
MME: Natamani sana iwe hivyo.
MKE: Vipi, wataka niondoke?
MME: Hapana hata kidogo.
MKE: unanipenda?
MME: Ndo maanake.
MKE: Utakuwa na mpenzi mwingine zaidi yangu?
MME: Siwezi huo upuuzi...
Wapendwa wanajamvi habari zenu, Ni matumaini yangu kuwa afya zenu kiroho, kiakili na kimwili pia hazina mushkeli, binafsi niko safi kabisa baada ya pasaka hii.
Ningependa nianze kwa kutoa pole...
nimekaa zangu hapa kibarazani sina mchongo wowote hela sina nawaza nipige mchongo gani nipate pesa mara simu yangu ikaingia namba ngeni
Kupokea nikaskia sauti tamuu ya mtto wa kike daa nilidata...
JUU YA NINI NIANZE KUFUATA FUATA WAKE ZA WATU KAMA WENGI WANAVYONIHISI HAPA??
WANAWAAKE WOOTE HAWA NIANZE TU KUFUATA MUKE YA MUHAYA?? NO WAY SHE IS NOT MY TYPE
Hayuko serious!!!!!!!!!!!
Simu ya binti inaita ngriiiiiiiiiii ngriiiiiiiiiii. Binti anapokea. Jamaa upande wa pili akaanza:
Jamaa: Haloo mpenzi, vipi hali yako?
Binti: Kichwa kinanigonga si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.