Jameni nauliza swali kuna ubaya kula kwa mkono..mfano umeenda hotel kubwa kubwa unakula chips na kuku au samaki...maana kutumia umma na kisu kukatia kuku mwenzenu naona napoteza mda halafu...
Kibaka mmoja alifukuzwa na akakimbilia makaburini alipofika akakaa juu ya kabiri, akavua shati na akaanza kujipepea.
Raiya; Vipi hujamuona mizi kupita hapa?
Kibaka: Hapana mimi katika huu mtaa ni...
ni cheupe kama saruji na ni cheusi kama mkaa kuliwa ni haramu, kunywa ni halali na kina herufi 5 ya kwanza imeanziwa na (M), Hutumiwa na wanaume mara tatu kwa siku na pia hutumiwa na wanawake mara...
Husband comes home Drunk and breaks some PLATES, Vomits and falls down on the floor..! Wife Pulls him up and cleans Everything.
Next day when he gets up he Expects her to be really angry with...
Habari wana Jf!
Kutokana na ugumu wa maisha kwa wananchi wengi wa Tanzania, na hili likichangiwa kwa kiasi kikubwa na serikali iliyopo chini ya uongozi wa CCM.
Kuna uwezekano mkubwa sana...
Jamaa mmoja asubuh alipanda DCM akitokea mbagala kwenda Mjin,gari likawa limejaa abiria wengi sana, ikafika muda wa kutoa nauli, akajisearch akakuta anayo elfu kumi, akashangaa,ila akaitoa na...
nauliza kwa ambao washawahi kwenda mafia mnapita wapi kwenda kwa boti? kwa kutokea dar mnapandia wapi boti na nauli zikoje? na usalama? nataka niende kutafuta opportunity za biashara huko
IKIWA NJAA IMEKUSHIKA USIWE NA HOFU SANA WEWE PIGA DUAAA HII MAMBO YATAKUWA SWAFII.
Y aa kabab fil chips kuku minal sosegi,
Ya sambusa wali chapati roast maini,
Innal pilau wali birian ya...
Wiki 2 baada ya haruc,mama alimuuliza bintiye, vp maisha ya ndoa? MTOTO: Du! kama British Airways.
Mama akatoka mpaka airport kuangalia ratiba ya british airways..Akakuta kwa wk inasafir mara 7 na...
Nilianza kumchezea kwa upole sana bila tabu! si ndio nikaanza kulamba!.. Mtoto ametulia tuuh! Nikalamba tena bado mtoto yupo tuliiii. --->
.
.
.
Nikaona nipake mate ili nilambe vizuri! Ile...
Umetoka kwenda town kwenye mishemishe zako umemuachia dada wa kazi maagizo afanya usafi vitu vyako vyote chumbani. Unarudi unakuta kazi hii hapa. Ni kosa la nani na utamfanyaje? Created by Joti...
A man joined a big Multi National Company as a trainee.....
On his first day, he dialed the kitchen and shouted into the phone:
"Get me a cup of coffee, quickly!"
The voice from the other...
Nadhani wote humu mko wazima na makini (wenyewe wanasema gado)..
Yametokea matukio kadhaa kwenye wakati wa sikukuu hii ya Pasaka.. Kuna mengine ambayo yalinilazimisha kuyaundia tume ili kufahamu...