sosoliso
Platinum Member
- May 6, 2009
- 8,543
- 9,480
Nadhani wote humu mko wazima na makini (wenyewe wanasema gado)..
Yametokea matukio kadhaa kwenye wakati wa sikukuu hii ya Pasaka.. Kuna mengine ambayo yalinilazimisha kuyaundia tume ili kufahamu ukweli na mengine ambayo ni ya kupeana habari..
Ninaomba Erickb52 na YNNAH mtoe ripoti ya mlioyagundua katika uchunguzi wenu dhidi ya sifa zilizotolewa na Bishanga kwa manoah.. Jee zilikuwa ni sifa za ukweli na dhati au alikuwa anamng'ong'a mwenzie na kumzunguka kwa mai waifu wake mimisa..?
Bujibuji alipata maswahibu ya gari yake kufunikwa na kifusi cha mchanga wa ghorofa lililodondoka majuzi pale Indira Gandhi/Morogoro street.. Na sasa ameamua kwenda kumnyang'anya mamsapu wake kile kimgongo wa chura alichomuhonga.. (sosi manoah)..
Arushaone hajaonekana toka Alhamisi.. Haijulikani alipo na habari zimepelekwa mpaka Polisi..
saudari alikamatwa na mkia wa fisi (ambao ni nyara ya serikali) na mpaka sasa anashikiliwa katika kituo kidogo cha polisi pale mabatini..
Safari_ni_Safari alimtishia maisha babu Asprin.. babu akamuahidi atakiona kilichomtoa kanga manyoya.. Safari_ni_Safari ameingia mitini.. Babu Asprin naomba utoe tishio dhidi yake ili arudi nyumbani kwake.. ametubu..
The secretary alijigeuza yeye ni mwalimu wa baioloji na kung'ang'ania kwenye pointi ya riprodaksheni.. Hili lilileta athari kwa wengi..
Arabela hakueleweka kabisa sikukuu hii.. naona alikuwa anammendea sana mwenyekiti wa tume ya Erickb52 na akadiriki hata kubisha hadharani.. wakati huo huo akawa anafliti na babu Asprin..
Passion Lady nae hakueleweka kabisa kwenye kipindi hiki cha sikukuu..
YNNAH nategemea kazi nzuri imefanyika na ninasubiri ripoti ambayo nitaiweka hadharani..
Mwisho.. Mwenyekiti wa mahusiano Baba V hajaonekana kabisa katika kipindi hiki.. Kuna yeyote mwenye habari zake..?
Its sosoliso & Paloma..