Yaliojiari Pasaka hii na matukio yasiokuwa ya kawaida..

Yaliojiari Pasaka hii na matukio yasiokuwa ya kawaida..

Hahaha! Oh maammah!
Oh Maaammmah! Hivi uliyoniambia jana ni kweli??

hD0EFA849
 
Sijawahi kutishiwa maisha na mtu yeyote. Tena hiki kinywaji kingenitishia maisha si ningekimeza chote??

Sasa hili la Arabela hili..... Arabela hebu come this way tujadili mambo ya kuflirtiana waka ti Yesu akiteseka msalabani.

ziko habari za uhakika hapa kwamba ulitishiwa nyau na Safari_ni_Safari..
Arabela anaona so kuja kulijadili hili.. maana inawezekana pasaka yote alikuwa anda influense.. sijui ya nini lakini..
 
Last edited by a moderator:
Huyu Bishanga ameshindwa kulia kwenye sinia kwenye kijiko ataweza wapi!? Twenzetu lunch babe sosoliso supu yako ya kichwa cha mbuzi kiziima iko tayari!

babe Paloma ile supu ya kichwa cha mbuzi inanifanya nicinzie hapa kwa ofici..
 
Last edited by a moderator:
Baby yangu sosoliso calm down kwanza basi...mwishowe upate tena njaa wakati nahitaji uwe na nguvu kwa ajili ya nightshift! Huyu Asprin nishakwambia hawezekaniki! Fbi ya saudari na elli ndo wanamuweza!
natafuta wachawi wakuloge.. Yaani mie ndo ninafanya hivi..? babe Paloma nikiua mtu utanielewa nadhani..
 
Last edited by a moderator:
Nije nikupitie sasaivi babe twende tukapate nap? Eish nimekumiss tayari...

me pia babe Paloma.. com pitia mie hapa kwa ofic.. tukapate mapumziko ya haja.. wakajinyonge wenye wivu..
 
Last edited by a moderator:
mi sijaeleweka
kisa nilikataa out yako nikawa
benet na my lovely loya?we si ulikua na Paloma!
 
Last edited by a moderator:
Baby yangu sosoliso calm down kwanza basi...mwishowe upate tena njaa wakati nahitaji uwe na nguvu kwa ajili ya nightshift! Huyu Asprin nishakwambia hawezekaniki! Fbi ya saudari na elli ndo wanamuweza!
Hebu nichumu tena kama jana....


Beyonce-Sunglasses-Snapshot.jpg
 
Nije nikupitie sasaivi babe twende tukapate nap? Eish nimekumiss tayari...
We mdanganye tu wakati ukiwa naye bado unanikumbuka. Ye mwenyewe yuko bize na vichenchede vyake

attachment.php



Afu mwenyewe chapombeeeeeeeee

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Hahahaha Msambiazi nimekuta maembe mabichi yanawafaa wanawake wa JF wenye mimba changa changa, yakaaa ayo via ni Ukwaju.....nikashindwa mwaya kukubebea
We uganga wako unatakiwa urenew! Ushaishiwa! Btw naomba kuja kula matunda ya Soni! Ya aho Msambiazi sosoliso kayakomba yoote!
 
Back
Top Bottom