Yaliojiari Pasaka hii na matukio yasiokuwa ya kawaida..

Yaliojiari Pasaka hii na matukio yasiokuwa ya kawaida..

Picha yangu ya siku ya white party sijui umeiiba wapi wakati hata hukumbuki kama ulitoa spichi!
Hebu nichumu tena kama jana....


Beyonce-Sunglasses-Snapshot.jpg
 
Tatizo lako unasahau kuwa wewe pia unakuwepo katika vikao vya ulevi na ndio chanzo cha kuharibu vijana wote, ona saudari na Safari_ni_Safari walivyochoka wamechakaa!
We mdanganye tu wakati ukiwa naye bado unanikumbuka. Ye mwenyewe yuko bize na vichenchede vyake

attachment.php



Afu mwenyewe chapombeeeeeeeee

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Ale mwingine uje uniulize wewe napika sangapi! Huna haya wala soni! Ya nyumbani kwetu hayakuhusu! Kama kwako hakujapikwa imekula kwako, na unaonyesha una njaa wewe...hehee pitia basi ule ugali wa muhogo (wa jang'ombe) papa na kisamvu(cha kopo)!
Wewe mwanamke unapika saa ngapi? Kutwa kucha JF!
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaa anayepika ni chef aliyesomea anayejua kazi yake...ukitaka chakula cha kiswahili, indian, continental, chinese, mexican. I just say the word! Kazi yangu ni kumburudisha mehbuba wangu sosoliso
Unaona misifa kula chakula cha hausi geli? Au naye analika? Ndio maana usiku makasheshe hayaishi

couple-man-sleeping.jpg
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha Safari_ni_Safari.. beki tatu amepata tuition ya kupika toka kwa mahabuba Paloma.. inamaanisha utaalam kwa Paloma ni nyumbani kwake.. wa mapochopocho yote.. napata starehe niitakayo mie..

Hahahaaa anayepika ni chef aliyesomea anayejua kazi yake...ukitaka chakula cha kiswahili, indian, continental, chinese, mexican. I just say the word! Kazi yangu ni kumburudisha mehbuba wangu sosoliso

Oh la laa....chef my foot


 
Back
Top Bottom