saudari
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 2,655
- 2,783
Last edited by a moderator:
Taratibu na maneno yako!!!
Oh la laa....chef my foot
mi sijaeleweka
kisa nilikataa out yako nikawa
benet na my lovely loya?we si ulikua na Paloma!
hizi ni habari za uzushi.. nilikuwa na babe wangu Paloma chama na mogela throughout pasaka.. kwa hiyo Passion Lady bado hueleweki.. pasaka ulikuwa lonely..
weeeee!!!!
nilikua na loya mie!
unanizushia sikukuu yote
niwe alone lol!
My akanana Passion Lady miss you mingi!
Hivi umuonei huruma sosoliso anavyo fanywa mume -----
na huku Paloma yuko na naniliuuuu?
kweli beibe!Lov ukweli ni kwamba sosoliso hawezi kusema alicho fanyiwa ni aibu kabisa! Alilia jumapili yote leo unajidai kutudanganya hapa na kushindwa kueleza yaliyo mkuta! Ana sahau kusema yanayo kusumbua moyoni ni tiba
ha ha ha Asprin.. wa juu huyo ni saudari.. halafu huyu wa chini ni Safari_ni_Safari tipikali kabisa.. duuh.. unataka kutufaninisha na hao.. mwangalie Passion Lady alivyolegeza macho.. saudari kwa ubua kabisa..
Lov usimpe huyo siri ya urembo bhana ana stress sana hana pakukamata asije akakurukia nikamtoa kucha na meno.
My akanana Passion Lady miss you mingi!
Hivi umuonei huruma sosoliso anavyo fanywa mume -----
na huku Paloma yuko na naniliuuuu?
Lov usimpe huyo siri ya urembo bhana ana stress sana hana pakukamata asije akakurukia nikamtoa kucha na meno.
wo nt swr!
wala hawezi nifanya
chochote kwanza anakugwaya!