Yaliojiari Pasaka hii na matukio yasiokuwa ya kawaida..

Lov ukweli ni kwamba sosoliso hawezi kusema alicho fanyiwa ni aibu kabisa! Alilia jumapili yote leo unajidai kutudanganya hapa na kushindwa kueleza yaliyo mkuta! Ana sahau kusema yanayo kusumbua moyoni ni tiba

Hujawahi kucikia machozi ya furaha ww..?
 
Last edited by a moderator:
Babe sosoliso watu wanatuavya roho mpaka basi! Lol! Huyu loya unishukuru mie kumrudisha kundini, otherwise usingemjua kabisa! Muulize aloyafanya leo tupo hapa pub alifanya nini! Nakutizama tu mama unavyochonga! Ni vile ya watt hayanihusu. Ila nkiyamwaga hapa nna uhakika na life ban!
miss u 2 honey
namhurumia sana
sosoliso hajijui tu!
 
Last edited by a moderator:
Mtafutie bunduki ya maji washawasha! Sihitaji kuja segerea mie kukuletea sabuni-ntakuangaliaje usoni!
Yaani babe wangu Paloma huyu jamaa nitamtafutia kesi ya bunduki akapumzike ndani.. Maana lol.. Mbishi..
 
Last edited by a moderator:
Babe sosoliso watu wanatuavya roho mpaka basi! Lol! Huyu loya unishukuru mie kumrudisha kundini, otherwise usingemjua kabisa! Muulize aloyafanya leo tupo hapa pub alifanya nini! Nakutizama tu mama unavyochonga! Ni vile ya watt hayanihusu. Ila nkiyamwaga hapa nna uhakika na life ban!

Umeona eeh babe Paloma.. Yaani naona wanatumia kila aina ya nguvu walionayo.. Wanashindwa..
 
Last edited by a moderator:
Mtafutie bunduki ya maji washawasha! Sihitaji kuja segerea mie kukuletea sabuni-ntakuangaliaje usoni!

Yaani yeye saudari tunampa kesi ya bunduki ambayo ilitumika kumuua padri Unguja.. Kwa hiyo atakuwa hatoki segerea babe Paloma..
 
Last edited by a moderator:
My Passion Lady usimsikilize Paloma ana jaribu kumlidhisha sosoliso asijue ukweli

Back
Top Bottom