Yaliojiari Pasaka hii na matukio yasiokuwa ya kawaida..

sosoliso kuhusu report ya manoah ntakuja nayo baada ya masaa 9 kuanzia sasa!
Tuko na ma swthrt wangu YNNAH na Arabela huku Sisi kwa Sisi Guest Hausi tunaimalizia ingawa naona speed ni ndogo sababu ya vijimambo vya mti wa katikati!
Waambie wadau wawe wavumilivu tu!
 
Last edited by a moderator:
Brother mbona hiyo report imenifikia na kati ya hao wasaidizi wako mmoja wao ndio amenipatia..
Copy: sosoliso

Haiwezekani
Hakuna akiyetoka hotelini humu tangu tuingie yan kila kitu ndani kwa ndani
 
Last edited by a moderator:
sosoliso kuhusu report ya manoah ntakuja nayo baada ya masaa 9 kuanzia sasa!
Tuko na ma swthrt wangu YNNAH na Arabela huku Sisi kwa Sisi Guest Hausi tunaimalizia ingawa naona speed ni ndogo sababu ya vijimambo vya mti wa katikati!
Waambie wadau wawe wavumilivu tu!

Kwanza ninashukuru sana kwamba mwenyekiti Erickb52 uko salama maana Bishanga alishaanza kuleta kauli za utata kuhusu ripoti nzima ya tume na usalama wako.. kinachonitisha ni usalama wa ripoti yenyewe katika mazingira uliopo hapo Sisi kwa Sisi Guest House.. Tayari kuna msigano wa chini kwa chini kati ya Arabela na YNNAH.. yeyote kati yao anaweza kuhujumu ripoti yenyewe.. manoah amenukuliwa akidai ameshapata ripoti na hilo linazidi kunitia shaka.. naisubiri ripoti ili nijue maamuzi gani yatafuata..

cc: Baba V..
 
Hiyo misuguano ni mambo ya ndani na ni ya kifamilia hope hayawahusu nyie!
Nyie mnapaswa kuwa na subira wakari YNNAH na arablea wanaipitia final draft ya hiyo report nzito ilibeba mazuri na mauvundo ya nanii!
Copy kwa manoah na Bishanga
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom