Yaliojiari Pasaka hii na matukio yasiokuwa ya kawaida..

I'm here by your side Erickb52

heee..! hata wewe Chocs..? huyu mwenzio amepewa kazi afanye.. ati kajifungia nyumba moja ya wageni na warembo wawili.. japo mmoja ni makamo wake lakini muendelezo wa kazi wanitia shaka..
 
Last edited by a moderator:
waswas wako tu sosoliso....nimeacha kamati ifanye kazi yake bana..na nina imani watatoa majibu mazuri tu..
hii saluti mwenyekiti imekaa vibaya.. Erickb52 ni mwenyekiti ya kuchunguza sifa alizotoa Bishanga kwa manoah.. linakuhusu sana hili mimisa halafu unakuja kumsifia mwenyekiti.. jeee unataka kumlegeza ili atoke na ripoti inayokupendelea..?

Erickb52 naomba ripoti sasa.. maana naona dalili ci njema..
 
Last edited by a moderator:
heee..! hata wewe Chocs..? huyu mwenzio amepewa kazi afanye.. ati kajifungia nyumba moja ya wageni na warembo wawili.. japo mmoja ni makamo wake lakini muendelezo wa kazi wanitia shaka..
Waaacha wee.............mbona wantia wasi!!
 
Sante kipenzi
Nakupenda pia..!!
Ila mbona umechelewa?
we acha tu
Siunajua imeandikwa mwanaume atakula kwa jasho?
Ndio nilikuwa natokwa jasho kwanza ndio nile!
Ila asante nimeshiba sasa niko tayari kuendelea na kazi nilopewa na sosoliso
 
Last edited by a moderator:
we acha tu
Siunajua imeandikwa mwanaume atakula kwa jasho?
Ndio nilikuwa natokwa jasho kwanza ndio nile!
Ila asante nimeshiba sasa niko tayari kuendelea na kazi nilopewa na sosoliso
Hahahahahaaaaa ,aya dadii endelea ila sosoliso asikuchoshe sana bwana
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaaaa ,aya dadii endelea ila sosoliso asikuchoshe sana bwana

ninaemchosha ni mimi kwani au kazi ambayo nimemtuma aifanye ndo inayomchosha unadhani Chocs..? yaani yuko nyumba ya wageni kajifungia na warembo wawili.. ataacha kuchoka..?
 
Last edited by a moderator:
ninaemchosha ni mimi kwani au kazi ambayo nimemtuma aifanye ndo inayomchosha unadhani Chocs..? yaani yuko nyumba ya wageni kajifungia na warembo wawili.. ataacha kuchoka..?
Kujifungia tu na warembo ndo achoke?!! Me nlifkiri mambo mengine
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom