JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
A come this way, niko na warembo wananichuna mshahara wangu...... Leo kwa Mama Ngina kutachimbika aisee...... LoL
1 Reactions
69 Replies
5K Views
Cheka na madenge. Mwalim Madenge tokea uanze kusoma jografia, ni maziwa gan makubwa unayoyajuwa? Madenge: Nayajuwa ya Khadija Yusuph na Aisha Mashauz! jioni njema!
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Kuna mtoto alikuwa anavuta sana Bangi, siku moja Baba yake kamfuma.Akamwambia kwa ukali mwanangu Nakupa radhi, yaani nakuvulia nguo, Nae mtoto akajibu We we we weee.. YAAANI MZEE UKIVUA TU NGUO...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kua na msimamo, kama hutaki kuniachia papuchi ludisha vogue na pangani zonda cinque roadster Pagani Zonda Cinque Roadster Pagani Zonda Cinque Roadster . Nyumba ya masaki unaweza pangisha...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Kama upo tz PM me
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Kwa form 4 ambaye hajazungusha! Jibu swali lifuatalo.... Ntakupa zawadi! 'je Tanzania ilipata uhuru mwaka gani?'
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Habari zenyu binafsi..... Hivi ukipewa nafasi ya kujipiga BAN ya muda kwa majukwaa matatu (3) utachagua majukwaa gani?? Mie hapa 1. Jukwaa la wakubwa. - Sababu huwa linanitia...
0 Reactions
70 Replies
3K Views
Wasalamu, Nimekuja kutokea kifungoni,....nisingependa kueleza machungu ya huko kwani sitayaweza yamaliza,isipokua mwenye swali aniulize ntamjibu. charminglady kipenzi changu usinipenda hata kwa...
5 Reactions
128 Replies
7K Views
sina la maana la kujitetea, ila najua sijatenda haki. Mtambuzi, Madame B, vin diesel, Kipaji Halisi, KakaKiiza, amu, Paloma, Zion Daughter na wadau wengine nilio waahidi kuja na wale wote...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Kuna jamaa mmoja Mswahili (Mbongo) alikwenda Afrika kusini akakodisha chumba katika hoteli ya hadhi ndogo.Akiwa ndani ya chumba akaona panya anamuangalia kwa macho makavu na akimshutua hatoki. Kwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Usipojibu swali hili nitakufi...,nitakufi...,nitakatufinya kweli".Mwalimu mmoja mwenye hasira na kigugumizi alikuwa mwambia mwanafunzi wake darasani, baada ya mwanafunzi huyo kushindwa kujibu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nawakilisha kwa ambaye yuko tayari please PM tutafutane.
0 Reactions
53 Replies
3K Views
MTOTO:Mama nimemuomba baba hela ya kusuka akaninyoa nywele. MAMA:Unabahati mwanangu,ungemuomba hela ya 'whitedent'angekung'oa meno.
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Mtoto wa mchungaji katoa ushuhuda kanisan haleluyaaa!!!! Nashukuru mungu kwa kuniponya,nilikuwa na ugonjwa wa kutokwa damu sehemu za siri kila mwezi, lakini tangu nimeanza kwenda kwa kaka Mushi...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Mzee mmoja aliagizwa sidiria na mkewe,alipofika dukan akawa amesahau size gan!Mama muuzaj akamwambia "njoo unishike maziwa Utakumbuka Ukubwa wa sidiria Uloagizwa" Mzee kuona hivyo akasema...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mwalimu kati ya hawa wapya bado alikuwa haizoea skuli na mazingira ya darsa! Basi katika kufundisha tumbo likamjaa gesi ndo akajikuta kijambo kimemponyoak kwa sauti. Basi wanafunzi walichekaje...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
That's The Way It Is ( with lyrics ) - YouTube
6 Reactions
427 Replies
21K Views
Teja mmoja kavuta bangi
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…