JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
ikiwa wiki inaelekea ukingoni nnaomba kwa heshima na taadhima nitambue maneno yaliyoshika kasi wiki hii, ni LIBOLO na ZOMBIE, akaaa mie sitaki stress weka na wewe ya kwako.....
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Nyumbani kwetu tupo wengi hadi nyumba ye2 ina roundabout!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mlevi mmoja alitangaza baa kuwa ana wasiwasi kua yeye ni mungu. Akaulizwa kwanini??? Mlevi: sababu nikifika mtaani kwangu nasikia watu wanasema "mungu wangu amelewa tena...!!" Nikifika...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mkulima m1 mchamungu alikuwa anatoka shambani ghafla akakutana na simba kwavile gakuweza kukimbia alipiga magoti akafumba macho kumuomba msaada mungu simba asimle ile anafumbua macho anamuona...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Hivi ndivyo mwanafunz wa form four 2012 alivyojibu kwenye pepa ya Kiswahili! Swali:Eleza hatua za kuandaa MDAHALO. Mwanafunz akiwa hajui maana ya MDAHALO alijibu hivi... 1.Unauchukua mdahalo wako...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Kuna Babu mmoja Kijijini kwetu kila mwaka analeta fuja na hashtakiwi Anawadanganya wototo wa kiume wampelekee maji porini Wakishafika anawakamata na kuwapiga kasha anawakatakata kwa kisu hadi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mlevi mmoja aliingia kwenye matatu nakukaa siti ya mbele, akaweka begilake kwenye siti kulia kwake kishaakalala.Baada ya muda akaingia mlevimwingine akatoa lile begi, akaketiyeye...naye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kila mtanzania anafatilia siasa ya kenya na unakuta anamjua kila mgombea wa kenya, swali ni je? wakenya nao huwa wanafatilia siasa zetu na kuwajua viongoz wetu???
0 Reactions
1 Replies
2K Views
nipo some where, napumzika kidogo baada ya mihangaiko ya siku, napata soda ila kaja mdada ni mhudumu hapa ama kweli uzuri wa mtu upo machoni pa mtu jamani huyu dada kaumbika, kaumbika she is sex...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
ina kila kitu kinacho hitajika kwa matumizi ya binaadamu,choo ndani kwa ndani.
0 Reactions
21 Replies
4K Views
wana JF mnawasaidiaje wa2 hawa: wakwanza ana; CIV _ F, KISW_F, HIST_F, GEOG_D, ENG_D, BIOS_D, PHYS_D, CHEM_D, MATS_C. Wapili ana; KISW_F, CIV_F, GEOG_F, BIOS_D, CHEM_D, PHYS_D...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
UROHO M-BAYA...Mwizi alibomoa nyumba akaingia kwenye stoo akaona vinyama kwenye kibakuli vilivyokauka,akaonja kimoja akaona ni kitamu kina chumvi chumvi! Akafurahi akakaa chini akala vyote...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Question to Men around Here,unapata Chili ana dem tajiri lakini Hataki kumuomba Msaada anapokua na tatizo hivyo huyo mwanaume anakupenda kweli Au Ndio kusema anaogopa kujishushia hadhi Hebu nisaidieni
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza nimeota nipo US nasoma. Nikapata mtoto mkaliiii black american. Ile naanza kuota kuanzisha biashara, usingizi unakatika. Muda wa job umefika. Ndoto hii ina maana gan?
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Mwanafunzi wa darasa la pili alimuuliza mwalimu wake: hivi ukichanganya OMO na FOMA zitatoa POVU?. Mwalimu akajibu kwa hasira: swali gani hilo la KIPUUZI? Lazima zitatoa POVU kwa sababu zote ni...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani hapa ninapoandika ujumbe huu niko njiani nikielekea airport kupanda fastjet. Naomba mliowahi fly na hili pipa niambieni nitarajie nini. Angalizo : Sio mara yangu ya kwanza kukwea pipa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
katika daladala kitoto cha nursery kikawa kinaimba..: "Baba angekuwa jogoo,na Mama kuku,mm ningekuwa Kifaranga"... Abiria wote kimya..! Kikaendelea tena kuimba..:"Baba angekuwa Beberu, na Mama...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nikiwa nataza ITV Taharifa ya habari ya 6:00pm mwisho wakaanza tangaza watu waliopotea. Wakwanza mpaka wa mwisho wote ni mabinti tu kati ya umri wa miaka 17-24 na mmoja akionesha kuwa kama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nazungumzia huku ambako huwa tunasuswa na viongozi wetu hapa nyumba mdele bar nyma ya nyumba kuna mateja wanafanya yao kushoto taro la maji machafu limepta kulia ukpga mswaki mate uwanja wa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…