JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tarehe 1 April unarudi nyumbani na unamkuta rafiki yako yuko na mpenzi wako kitandani wamekumbatia uchi, walipokuona mpenzi wako anakumbia honey ni siku ya wajinga duniani,tulikuwa tunakutania tu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Shikamoo kaka mkubwa TANESCO....
0 Reactions
0 Replies
592 Views
The race to date a BIG BOY is what is now in vogue. Most ladies nowadays can't function if there is no cash involved. The urge for material things has changed the STORY OF LOVE. Do NOT make...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani wanakikundi cha JF naombeni msaada wenu maana nimetafuta mpaka nimechoka.nilikuwa naomba msaada wenu kwa hali na mali,mwenye roho ya kusaidia naomba ajitolee kwa moyo mmja.chonde chonde...
0 Reactions
0 Replies
961 Views
haya ni baadhi ya maneno ya makonda. Abiria;~konda weka nyimbo za yesu. Konda;~yesu hajatoa albam Abiria;~konda humu...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wana jfcc! weekend iko bien! karibuni sana niko pande za dom makao makuu ya chama na siri kali! Hehehe! Naianza taratiiib hapa master pub badae chakonichako kisha ntajirusha klub 84! Peace...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Wajameni ka-weekend ndo hako tupeane kampani basi, mimi niko kijiji cha royay(royal village) hapa nakaziakazia swaumu siunajua kwamwezi haka, please kampani mi..
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Kuna dogo mmoja alikuwa ametoka kwa bibi yake dar anarudi kwao mbeya. Walipofika mto ruvu akamuuliza konda tumefika mikubi konda akasema bado. Walipofika chalinze akauliza tena tumefika mikumi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni..ngekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo Maana, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo Ni..ngekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo...
6 Reactions
171 Replies
10K Views
Yaani sijui SIMBA wameikosea nini CAF.......yaani dah.....kumbe akifanikiwa kuitoa LIBOLO huko Angola.... hatua inayofuata anakutana na timu inayoitwa FERVIALO CHIPUMBU ya MSUMBIJI...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
NAFASI YA KAZI ......... Je, unatafuta ajira nzuri inayolipa? 1.Mshahara Tsh 600,000/= kwa mwezi. 2.Mda wa kazi kuingia saa tatu asubuhihadi saa tisa jioni. 3.Allowance 300,000/= kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Muhaya is attacked by a robberin his silver prado.. Robber shouts, "Toa Pochi!!" Muganyizi shouts back, "We ----, huwezi nipigia kelele nikiwa kwenye prado na nimevaa rolex na cheni ya gold...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nilipokua mdogo nilikua naskia misemo iliyokua ikitumiwa na wahenga katika jamii na pia ilikua na maana zake..mfanomkono wa kulia ukiwasha......utatoa kitu/hela,Mkono wa kushoto...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Konda akiwa usingizini akaota mteja kagoma kumlipa nauli. Wakabishana na hatimae mteja akachoropoka katika daladala na kuanza kukimbia, konda akaamua kumfukuza, mteja ambae akaingia kwenye shimo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wapendwa wa CC! Baada kimya kichache nimerudi tena kwenye uwanja huu maridhawa! Niliwamisi mno!
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Husband on phone: Doctor my wife is pergnant.She is having pain right now. Doctor: Is this her first child? Santa: No this is her husband speaking…
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani nilikuwa nawaza hivi kama kuna antivirus basi pia kuna uwezekano akawepo ankovirus, fadhavirusi, madhavirusi................ nisaidieni kuwakumbuka wengine.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadauwenza! Nauliza hivi hili neno "KAMA NINI" Lina maana gani ? Utasikia ; > Tamu kama nini! > Chungu kama nini ! > Kali kama nini ! > Mkarimu kama nini ! > Jeuri kama nini ! > M'bishi...
3 Reactions
48 Replies
4K Views
wakuu hivi mbagala RANGI TATU ni rangi ipi na ipi embu nifamisheni???
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamaa mmoja alienda kufanya kazi kama house boy. Kwa mara ya kwanza alikutana na mama mwenye nyuma akamuuliza jina lake akamwambia naitwa mume wangu, alipokutana na binti wa mama mwenye nyumba...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom