wenye magari binafsi wanakosa raha ya maneno ya makonda

wenye magari binafsi wanakosa raha ya maneno ya makonda

thadei kimambo

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
220
Reaction score
126
haya ni baadhi ya maneno ya makonda. Abiria;~konda weka nyimbo za yesu. Konda;~yesu hajatoa albam Abiria;~konda humu ndani joto Kanda;-kapande friji. Abiria;-sitaki siti ya mwishoni Konda;-kwani siti ya mwishoni ipo nje ya gari. Abiria;-mbona hamna siti? Konda;-hawa waliokaa wamekalia madumu? Abiria;-konda unanibana. Konda;-hiyo suruali yako imekubana mbona husemi. Abiria;~konda mabibo shusha Konda;-kwani nimesimamisha*? TUPIA NA YAKO YALIYO KUCHEKESHA
 
Back
Top Bottom