KISIRANI KAINGILIA PENZI LA Chimbuvu NA Madame B

KISIRANI KAINGILIA PENZI LA Chimbuvu NA Madame B

Chimbuvu

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2012
Posts
4,401
Reaction score
2,345
Ni..ngekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
Maana, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo
Ni..ngekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
Mara, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo

ah sikujua mapenzi balaa, tena ni maradhi ya moyo kupendaga
Tena mapenzi karaha, yanajenga chuki na choyo kisa Madame B
utu wangu na thamani, ina maana kweli Madame B hakuvijua
licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua
utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua
Uhuni jaa burudani mtaani, akaamua kutimua
Inaniuma sana

Ni..ngekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo [...mhh mawazo]
Maana, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo [....mmh kikwazo]
Ni..ngekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo [.nipunguze mawazo.]
Mara, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo [...nna mawazo]

Nikikumbukia!
ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia!
ubongo unapata mawazo

Nikikumbukia!
ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia!
ubongo unapata mawazo

Yule kisirani Ben Saanane kaingia, kwenye utamu wa penzi langu
ameleta tafarani naumia, nalia na moyo wangu
Ona kisirani Ben Saanane kaingia, kwenye utamu wa penzi langu
ameleta tafarani..... mwenzenu nalia na moyo wangu!

kuwa mimi wivu ninao na roho yangu ninaumia
kweli wapendanao ndo maadui zikitimia
lile tinga langu la maraha Madame B, leo limekuwa sumu kwangu
ona tena sina raha, ninacheka nnalia na moyo wangu

Ni..ngekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
Maana, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo
Ni..ngekuwa na uwezo, ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo
Mara, Mchana kutwa hata usiku silali, mapenzi kwangu kikwazo

Nikikumbukia!
ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia!
ubongo unapata mawazo

Nikikumbukia!
ubongo unapata mawazo
Nikikumbukia!
ubongo unapata mawazo


utu wangu na thamani, ina maana kweli Madame B hakuvijua
licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua
utu wangu na thamani, ina maana kweli hakuvijua
licha ya burudani, ya mapenzi yangu akatimua
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha haaaaaaaaaa! Chimbuvu ungejua yote hayo usingemnyanyasa hadi nilipokuaja kumuokoa...
Baba V nachafuliwa jina huku,ulimuonya lakini....
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom