JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
....mAmbo yakiwa mengi hata humu hatuonekani...lakini nawakumbuka sana..hasa my arabela....i miss yu sana... wengine woteeeeeeeee.... ...Usiku mwemaaaaaaaaaaa.....
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Paloma chop my money cacico chop my money Madame B chop my money amu chop my money nivea chop my money Arabela chop my money ........because i don't care....i don't care. Copy...
9 Reactions
113 Replies
6K Views
Mlevi mmoja aliingia pharmacy na kusema "tafadhali nipatie condom" Mhudumu akabwatuka na kusema "Kaka mbona huna heshima? si uagize kwa lugha nzuri?" Jamaa akaona isiwe taabu, akafungua zip na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kisa kimetokea kwetu huku pande za uswazi. Mzee kitemba amtunza binti yake mwanaheri ili aolewe akiwa bikira. Yaani mzee mnoko kinoma.Sasa juzi kati mzee kama kawaida jioni akaenda masjidi. Kijana...
3 Reactions
2 Replies
2K Views
Tabia za watu kugombania siti kwenye daladala, leo ime mtokea mtu puani, baada ya mtu kushuka katika gari, ndipo kijana mmoja akanisukuma pembeni aiwai ile siti, kitendo cha yeye tu kutaka kukaa...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
natafuta friends wakuchat nao....
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Kabla ya ndoa mambo huwa hivi;- MME;-Nilitamani sana muda huo ufike. MKE;-Vip wataka niondoke? MME;-Hapana hata kidogo. MKE;-Unanipenda? MME;-Ndiyo maana yake. MKE;-Utaniletea demu mwingine...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Mimi ndio baba lao.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
matokeo yametoka leo,hongera shule za kata kwa kufanya vizuri,hizo ni juhudi za serikali
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Ama kweli leo ndo naamini sasa kumbe (KUWA UYAONE SI MAGOROFA. MAGARI ) daaaaaaa kazi kweli kweli
0 Reactions
12 Replies
1K Views
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Padre Aliwauliza Waumini:- Ni Kiungo Gani Cha Mwili Kilichojificha Na Kina Wingi Wa Unyevu Unyevu, Kinaweza Kufanya Ndoa Idumu Au Kuvunjika? Waumini Wakapiga Kimya Huku Wakiinamisha Vichwa Vyao...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ujumbe unaoweza kukuharibia mood katika siku yako: 1. Nakuja kuchukua hela yangu mida hii 2. Samahani tumepata ajali na gari lako 3. Nina mimba yako 4. Nimepata majibu sio mazuri 5. Nimemuona...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wanandoa wameoana,,siku ya pili tu wamepelekana kwa padri... padri akawauliza nini tena? MKE AKASEMA: nilifikiri iko hivi ==========> ama hivi ======> kumbe hivi ==> Bora talaka... MUME...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Tofauti ya maisha; Eti ni dhahiri kuwa kuna tofauti kubwa ya maisha kulingana na maeneo, eti na watu wanaoishi huwa na tabia kulingana na maeneo yao: mfano Mke anayeishi Masaki akimwagiza mumewe...
1 Reactions
17 Replies
4K Views
Whats up ma pipo
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Mwaka 2013 NOKIA wameboresha kwa kuweka lugha ya KIJITA kwenye simu na mambo yatakuwa hivi: phonebook-ECHITABHO. Names-AMASINA. Time-OMWANYA. Ringtone-LILILILO. Settings-OMWINYANJO...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Teh teh teh teh
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau, Kwa wale ambao hawawajui Shark na Madame B, basi leo nimeamua kuwaletea picha zao muwaone.
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Mimi ni member mpya humu ChitChat,lakini katika Wavulana Woote Humu ChitChat nimempenda mmoja tu, nae ni Donn. Donn nahitaji Penzi lako kaka. Donn nahitaji faraja yako kaka. Donn nakupenda...
4 Reactions
175 Replies
9K Views
Back
Top Bottom