Kama unabisha jitoe JF.
Leo ni siku njema sana, tuko Kebbs hapa tunaona wema wa Jf.
Najua nyingine nzito zaidi inakuja, please dont miss itakapotokea hapo siku za usoni
Sometimes huwa nafikiria especially hay matukio yanao wakumba wanafunzi vyuoni hasa wa kiume kulawitiwa wanapokuwa wamevamiwa tena uvamizi wa silaha za moto.
Swali linakuja wakitaka # 0713 utatoa...
Dah.. Hatimae mjomba Chimbuvu amefunguliwa toka kifungoni leo.... Nadhani huyu ndio mhanga aliye kuwa amesalia katika server room, baada ya Chilli noahism na Baba V ... :welcome: back... Sasa...
Haya yote yanayojiri leo katika wanaJF wing ni makubwa kweli kweli na kwa mtazamo wangu wa kuangalia na kutambua nataka nitambue uwepo wa member hawa wadhibitishie Jf ya kwamba kama siyo ARUSHA...
Hello everyone I am Roseana from Australia.
I am internet marketer and entrepreneur.
I am the admin of Total Victory Team Africa.
Feel free to drop by and visit my group...
Baba anamuuliza mwanae hee! Alfajiri yote hii mbn unawahi shuleni? MTOTO: mwalimu wa bagia leo anakuja asubuhi nikichelewa nitakuta zimeisha. BABA: pumbavu sio kuwahi masomo bali bagia? MTOTO...
Mwizi Alibomoa nyumba
akaingia kwenye stoo akaona vinyama
kwenye kibakuli vilivyokauka,
akaonja kimoja akasikia ni
kitamu kina Chumvi! Akafurahi akakaa
chini akala vyote, alipomaliza...
Jamaa wawili walikutana kwenye kituo cha basi wakafanya mazungumzo. Mmoja aling'ang'nia kuzungumzia kero za familia yake hatimaye mwenzake akasema " Unadhani familia yako ina matatizo?" Basi...
Jamaa ana tatizo kaingia kwa Daktari ikawa kama ifuatavyo,,Jamaa: Dokta nina tatizo huku sirini,Daktari : Hebu vua nguo tuone,Jamaa: sawa navua ila naomba usicheke, pliz dkt usicheke.Daktari ...
Nimeota kuna jamaa mmoja amefariki tunaaga maiti yake. Ghafla maiti ikasimama. Watu tulistuka. Akachukua fimbo bwana akaanza kucharaza watu viboko.
Sasa najaribu kuwaza maiti ya kiislamu...
Mzungu ni genius jamani, wala msibishe, unachukua mamilioni Afrika wewe mwenyewe unaenda yaweka kwa Mzungu, kisha Mzungu anayachukua anakuja kukukopesha kwa riba kubwa hadi deni la Taifa linafikia...
Asante mod kwa kututatulia tatizo lililotokea kwa mke wangu kipenzi Marry Hunbig.
Nina mashtaka kwa mwenyekiti wa mausiano na ndoa hapa chit chat. Baba V umeanzisha thread ukiuliza yaliyomkuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.