JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Walikua wananiita. Yeboyebo
0 Reactions
55 Replies
3K Views
Maua,kadi za wana MMU zote zimeibiwa duh kweli mjini shule.
0 Reactions
0 Replies
746 Views
Wapendwa wana chit chat I'm on my way from Dar to Mbeya with Mama v .Pray for us to have a safe journey. Nitakuwepo Mbeya kwa muda wa juma moja, kwa wana CC mlioko Mbeya PM zihusike ili kama vipi...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Kamati ya kuchunguza na kuratibu kinyan'ganyiro cha ulimbwende wa chitchat iliamua kukaa chini kuchunguza madai yaliyoletwa na watu kuhusu faulu ambazo Madame B amekuwa akizifanya katika...
6 Reactions
174 Replies
6K Views
you believe it in it mazee.where are we going after die
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani haijalishi uko wapi, kwa wale walioko shift za usiku au walinzi wa makampuni, mapolisi nk, hapa ndio mahala pake tupige story mwenzenu nimekosa ucngizi kabisa natafuta washkaji tujipigie...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Leo nimetumiwa hii SMS na mdada mwenye heshima zake, nadhani akiwa na lengo la kunifanya nicheke. SMS yenyewe inasema hivi: "Kwa mujibu wa shirika la kazi Duniani (ILO) mfanyakazi bora ni ****...
1 Reactions
16 Replies
7K Views
Mara krrruup!houseboy kazama chumbani kwa mama mwenye nyumba bila hodi. (Mother house):We Mengi,mbona unaingia chumbani bila hodi,ukinikuta mtupu je? (MENGI):Hapana mama haiwezekani mimi kukukuta...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
jamaa mmoja ilimlazimu kufanya kitendo kibaya sana na kujikuta anabadili jina na kuwa mwanamke, hii ni baada ya kukutana na list ya watu wengi mkoani mbeya wakianzia na prefix MWA majina yalikuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Huu nI wimbo wa Whitney Houston , Hebu yasikilize maneno yake. http://onechurchonechildokla.com/media/Whitney_Houston_-_The_Greatest_Love_of_All.mp3
1 Reactions
25 Replies
3K Views
All the way from A-town,..niko hapa Italian Pub House-maeneo ya Tabata Chama kuelekea Mawezi tunakunywa na washkaji..ningependa sana kama ningekutana na member wa Jf Dar... Nb:I will take care...
0 Reactions
41 Replies
3K Views
Asalaam aleykum wanajamvi........... Napenda kuwakaribisha wanaJF woooooote wa Mwanza a.k.a The Rock City katika ufunguzi wa Chimbo jipya na kali saaaaaaana, Chimbo la wanene...... Chimbo la...
6 Reactions
65 Replies
13K Views
Jana jumapili jioni alisikika MHAYA mmoja pale Jamaa akiongea kwa sauti mbele za watu. "Aise dreva wangu, hebu nenda kwenye nyumba yangu ile nyekundu, siyo ile ya Bunju, wala sio ile ya...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Heshima zenu wakuu. Hope mwaka unaisha salama. Msaada tutani wakuu, kuna movie imeonyeshwa last sunday na ikarudiwa jana usiku EATV. Nimesikia ni full vituko na lugha gongana. Kwa anayejua jina...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wishing you a mery xmass members..!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kind of rock = kindoroko (mwanga) cow way =Kawe (dar es salaam) long journey =longijave (arusha) Check rail =chekereni (arusha)...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
kwa muda mrefu nimekuwa nikitaka kudownload nyimbo ya samir_kinyurinyuri nimeshidwa nimeona nije uku naamini kunawadau wanaweza kunisaidia kwa hili mdau yoyote ambaye anaweza kunitumia link ya...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
This is to wish you, Erotica and the twins a very joyous Christmas and a happy, bountiful year 2013. Let all the graces of the Lord shower upon you all Amen. To chit-chatters: Please treat this...
2 Reactions
7 Replies
973 Views
Wakubwa Shikamoniiiiii Juzi kuamkia jana nilikuwa na hofu ya mwisho wa dunia, nikaamua nijilipue kwa kukamata sistaduu mmoja wa mtaani kwetu ambaye nilimuweka pending kitambo, sasa nikaenda nae...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzz Tukirejea definition ya umbea, Nyepesi anaomba msaada wa vigoma vya uruguai na mkodobwe ili akawasute Saa Tisa na Mumunya. Habari ziwafikie kamati nzima ya msuto ...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…