JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
I love Arusha So Mmmwaahhhh...!!!!!!! Wana Jf wa AraChuga Wing Nipokeeni...!!!!!!! Natia timu Kujiandaa na Safari ya Tanga. Arushaone, Filipo, Lily Flower, Mungi, Erickb52, PakaJimmy...
7 Reactions
293 Replies
13K Views
Mwalimu wa Historia, "Eeeenhee Wanafunzi, hivi ni nani alimuua Dedan Kimathi?" Mwanafunzi wa Kwanza, "Aki sio Mimi!!" Mwanafunzi wa Pili, "Walahi sihusiki hata kidogo!!" Mwanafunzi wa Tatu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
menzenu Timbolo simuelewagi kabisaa hata nyimbo yake ikipigwa club huwa natoka nje wenzangu msanii gani hamumuelewagi?
0 Reactions
29 Replies
5K Views
(MWALIMU):Wanafunzi nitajieni kiumbe anayeweza kuishi majini na nchi kavu. (TOM):Chura! (MWALIMU):Safi sana Tom,enhee!nitajie kiumbe mwingine! (TOM):Chura mwingine!
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Miaka ijayo ibada zitakuwa hv mchungaji:bhwana asifiwe waumini:amen mchungaji:2mshukuru mungu kwa ku2pa cku nyingine nzuri hii ya leo mchungaji:sasa 2fungue bluetooth za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
shetan alikutana na Yesu jangwan akamwambia "Yesu kama ww ni mwana wa Mungu geuza jiwe hili liwe mkate" Yesu akamjib "una chai ama soda hapo au unanisumbua? acha ujinga wako ww.
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Watoto wasomi kazi kweli kweli. Hebu sikiliza!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama leo ingekuwa ni mwisho wa dunia tungekusa moja kati ya watu ambao wangeuona huo mwisho wa dunia. Hivyo tulitakiwa tujipongeze kwa hilo ila tuendee kusubifi maana siku bado ndefu Na kama...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ni leo tena huwa natoa ushauri mara moja kwa mwaka na leo umeangukia kwa kakaangu kijana wa mjini huyu barobaro Erickb52 ambaye huwa ananitaka sana japokuwa sina mpango na kijana asiye Bikra kuwa...
2 Reactions
171 Replies
7K Views
Hebu fikiria kama leo tarehe 21/12/2012 saa sita kamili (0000hrs) ingelikuwa mwisho wa dunia.... Ungelikuwa wapi na unafanya nini??? Kuna ambao walikwenda makanisani kukesha... Wengine...
0 Reactions
40 Replies
4K Views
Dah WanaJF Yaani haka kasafari ka siku chache tu nimerudi nimekuta balaa! Tulikuwa na kasafari kadogo na mamsap! Juzi kati nimerudi home nikapokelewa na malalamiko kibao! Wa kwanza Sijui nimwite...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
A female teacher was having a problem with a boy in her class of 3rd grade. The boy said 'M'am, I should b in 4th grade,Ï'm smarter than my sis & she's in the 4th grade'. The M'am {Teacher} had...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Nimefiwa na baba yangu mkubwa! Niko njiani naelekea Moshi kwenye mazishi!
1 Reactions
52 Replies
3K Views
jina jipya la polisi wa 'tigo' TRA WA POLISI! yaani wanakusanya mapato ile mbaya!
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Dah! Toka juzi sijabanduka politics ila sasa presha ya kule imenishinda hali yangu sii nzuri kabisa ebu wazoefu wa kule nisaidieni hapa ili japo kuishusha kidogo natamani kurudi kule maana kuna...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
What attracts you most to your village?what is that thing that makes your village indelible in ur heart?
0 Reactions
9 Replies
1K Views
kuna watu wazima huko wanasutana mpaka basi,kama vipi atokee mtu awashauri waingie chitchat kidogo washushe munkari ndo warudi anga zao,vinginevyo watatoana macho.Yaani watu wazima wanavyovuana...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Heshima kwenu wana chit chat, Tangu nimejiunga na Jf, Jan 2011, leo ni mara yangu ya kwanza kuingia jukwaa hili, inawezekana nikawa nmeshaingia, itakuwa kwa mlango wa nyuma (latest), lakini...
2 Reactions
67 Replies
3K Views
N Leo nimemaliza mwaka mmoja tangu nijiunge na JF. Nawashukuru wanaJF wote kwa maandishi yao kwenye majukwaa mbalimbali yaliyonielimisha, kuniburudisha na kunipunguzia stress za maisha.Jukwaa la...
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom