Salamu zenu wakuu,
husika na kichwa cha Thread hapo juu,
Huyu member bana amekuja siku sio nyingi ila ukweli ni kwamba kila nilipokua napita navutika kwake.
Duuh for the first time...
Unaenda nyumbani kwa mpenzi wako kutembea,na kwa mmomonyoko wa maadili wa siku hizi unalala hukohuko japo hata ndoa hujaambiwa ipo au haipo,sio neno...Unaondoka asubuhi unaacha Khanga...next...
Baaada ya kuruka ruka na kupiga sarakasi zangu za kutosha, kesho ni siku ambayo nauacha rasmi ukapera na kuanza kuitwa rasmi mume wa mtu.
I wish niwakaribishe woote lakini kwa wale wachache...
kuna mistari stereo anaimba
'najua dada yako hapendi rap kabisa,nami kuicha ni sawa na kuas kanisa" NAOMBA MWENYE KUJUA JINA LA WIMBO WENYE MISTARI HII ANISAIDIE JINA LAKE. asanteni
Nataka kujua nyimbo ya kwanza ya dazbaba imetoka mwaka gani???? Na kati ya ngware na daz baba nani wa kwanza kurelease nyimbo na ilikuwa mwaka gani na albumu ya kwanza ya mangware ilitoka mwaka...
The Mexican maid asked for a pay increase. The wife was very upset about this and decided to talk to her about the raise.She asked, Now Maria, why do you think you should have a pay...
Hebu soma haya maneno ya kiswahili yanavyoandikwa ni tofauti na yanavyotamkwa halafu tunaona poa tu...kwa mfano:
NJE......eti tunatamka NNJE!!
MBWA..........MMBWA
Hebu nipe mengine.......
Asie na Mwana Aeleke Jiwe.....!!!!!
Na Asie Na Kofia Aeleke Pembe.....!!!!!!
HABARI ZENYU BHANAA......!!!!!!!
NARUDIA TENA HABARI ZENYU BHANAAA........!!!!
Mlio Pair Usiku huu Hongereni...na Mlio...
Kuna jamaa mmoja walihama na
kwenda kuishi
Uswahilini ,alimchoka Paka wa
Mkewe na kufikia Hatua ya
kumchukiaa , Alimaua kumbeba
ktk gari yake nakumpeleka
nyumba Kama 50 kutoka Hapo...
Nani amewahi kuamka asubuhi na kukuta mtu anamfuatilia utafikiri ameua kwao?
Watu wengine bwana!!
Yaani unakuta mtu mzima na ndevu zake anafuatilia weeee maisha ya mwanaume mwenzie au mwanamke...
Je kama machagudoa pia wangekuwa na WARNING SIGN(alama ipi ya onyo)?
Je kama mapenzi yangekuwa yanauzwa dukani....Je container lake lingekuwa na WARNING SIGN(alama ya onyo) gani?
Wana chit-chat heshima mbele, kwa watoto wa 90 miongoni mwa michezo ilikuwa malani, mitaani kulikuwa na mabingwa ambao waliogopeka kwa malani maana hao unaweza rusha ngumi au kulia. Shuleni vivyo...
A four-year-old boy was asked to return thanks before Thanksgiving dinner. The family members bowed their heads in expectation.
He began his prayer, thanking the Lord for all his friends, naming...
Yaliyo nikuta leo ni makubwa nimepanda basi fulani kutoka Mwanza kuelekea Dar. Niliambiwa ndilo linaaminika. Tulipofika Shinyanga disck za tairi la mbele zikawa zimeharibika. mafundi walitumia...
Nani amewahi kupata BAN?
Jamani BAN ni mbaya sana!!!
Yaani uhuru wote unanyimwa,chawa kibao gerezani,hakuna kuonana na ndugu na jamaa,habari za uraiani ndio unazikosa kabisa!!!
Sasa,ingekuwa...