JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nashukuru kuwa mmoja wa mwanafamilia wenu kwani nimekuwa nikifuatlia hoja mbalimbali na michango yenu kwa ujumla kwa muda mrefu na ambayo inaelimisha,inaburudisha na pia inaonya kwa wale wanaopotoka.
0 Reactions
2 Replies
920 Views
Kichwa cha habari chahusika. Nimeletewa taarifa na mmoja wao kuwa baada ya kupima na kupembua namna ambavyo wameshindwa kuwa karibu kithioritikia na kibaiolojia kutokana na umbali wao na majukumu...
4 Reactions
91 Replies
5K Views
Tunaimani na tunaambiwa yakuwa msanii ni kioo cha jamii, je tunaelewa maaana ya huu msemo na nikweli wasanii wetu ni kioo cha jamii? Kioo huwa hakibadishi sura au uhalisia wa mtu/kitu,kioo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wapendwa wana jamii, kuna eneo lipo BUNJU A. nahitaji kulinunua, lakini anae hitaji kuniuzia amejitaja kama ndg wa D. BALALI, Msaada ninao uhtaji ni kupata mawasiliano ya watoto au mke wa D.BALALI...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Napenda kuuliza maana unasikia mtu anasema mimi mapenzi yetu hayakuwa ya kuzaa mtoto sasa kama umezaa mtoto mimi sijui!!!.....matokeo yake wanaopata tabu ni akina mama na watoto na pengine...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Duh! Nilimtania Paw kuwa ameaga dunia na matendo yake maovu na kuokoka!! Weeeh! Wacha anilambe ban ya wiki 2!!! Duuh! Nashukuru nimefunguliwa salama! Jela kubaya weweee!!!
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Death came to a guy and said, "My friend, today is your day!" The guy said, "But I'm not ready!" Then death said, "Well, your name is the next on my list...." Guy: "Okay, then why don't you...
0 Reactions
1 Replies
769 Views
MALIZIA MISEMO IFUATAYO (1)Utamu wa kazi ni "PESA" (2)Utamu wa usingizi ni "NDOTO" (3)utamu wa FACEBOOK ni.......... (4)Utamu wa mapenzi ni.................. (5)toa na wewe ya kwako............
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Wandg namshukuru sana Mungu kwa siku nyngine ya Pekee sana ambayo ni siku ya leo Tar 12/12/2012 ambayo ni siku ya kuzaliwa/ BIRTHDAY nina furaha sana Mungu kunipa Pumzi tena! Na naomba anipe...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Yaani dada zangu kwa hii story ifuatayo mwenzenu amecheza chini ya kiwango.. Mkazi mmoja wa Buza kwa Lulenge (Yombo) anaeitwa Mustapha Mchele amemuua mwanae kwa kumcharaza mapanga baada ya mama...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
  • Closed
Mimi mwanachitchat mwenzenu yapata mwezi huu nasumbuana na supermoderator Invisible anipe ruhusa kuingia hilo jukwaa ila Invisible kaweka pamba masikioni na mbaya zaidi hanipi sababu. Kwa hiyo...
0 Reactions
36 Replies
2K Views
Kama heading inavyosema, naomba mniwekee vitheluji hapa jf Ili nikiwa nasoma najua kabisa season ishaanza Nianze kununua makoti marefu na kofia, chezeiya snow Nawakilisha. . .
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Umofia kwenu ila mie sio m-nigeria kama Bujibuji mwingine Na wala sio old kama Nyani Ngabu mwingine hata hivyo sio Njuka kama kisoda mwengine natema ujumbe lakini simzidi AshaDii mwingine...
10 Reactions
44 Replies
3K Views
Mganga wa tausi ni KA... Kalumanzila La.... Lala salama Ma.... Mama mzazi Zi.... Zizi la ng'ombe Mbe.... Mbele ya nyumba Mba.... Mbali na wewe We............... Du nimesahau muendekezo...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Unaingia Hotelini au Mkahawani na unaagiza supu ya nyama ya ng'ombe.Ukiwa umekaa huku ukisubiri hiyo supu mara anakuja muhudumu na kuuliza nani ng'ombe?Utasemaje?
0 Reactions
3 Replies
6K Views
binafsi huwa nafikiri kuwa katika matatizo yote duniani theluthi mbili tunayo afrika.tatizo la usafir n sehem ya theluthi hiyo mbili.mataifa ya magharibi na mashariki ya kati huwa na theluthi moja...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Today is tripple twelve 12/12/12/, may i wish u good morning in this fantastic day which will never exist and happened again in our life. GOOD DAY AND BE BLESSED ALWAYS...chit- chat family.
0 Reactions
5 Replies
934 Views
jamani kila mdada nayempa anamkataa hata evelyne salt hamtaki eti ni gunia la misumari naombeni niwakabidhi niweze kuumaliza huu mwaka kwa raha.
4 Reactions
122 Replies
7K Views
Ama kweli Mungu ni wa ajabu leo ni tarehe 12/12/12 ambayo hutokea mara moja na huwa haijirudii tena. Una kipi cha kusema ktk siku ya leo??
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…