Helloooow!!
Mrembo wa kinyakyusa nimetia timu humu!!
Nilikuwa nawachungulia humu akina Madame B,Lara 1,Ciello,cacico,Zinduna,Erickb52,Ruttashobolwa,Nitonye,Chilli na wengineo wengi kipindi...
Nimetumwa na chama-CCM na Serikali. 'Kudeal' na mihela ya Wazito ile ya Zitto.Nitakosekana humu kwa majuma kadhaa. Tuombeane. Mkimuona Cacico,mwambieni nakumbuka maagizo yake. Mbaki salama!
Nipo kwenye Gari naelekea town nimetoka kimara. Nimekaa siti ya karibu na kondakta toka kimara nilikuwa natafakari kati ya hawa watu wawili nani ikifika jioni huwa anachoka zaidi.
Nikiangalia...
Kwa wale waliozaliwa kabla ya kuwa Tanzania nawatakia " happy anniversary" ya miaka 51 ya kuzaliwa pamoja na kupata uhuru wa Tanganyika na nyote mliozaliwa Tanzania kila mmoja kwa miaka yake...
One Friday morning, John woke up hurriedly and prepared for work. He worked
in a busy institution and was expected early at work. His wife worked a
distance from where her husband's office was...
SHERIA MPYA ZA BARABARANI:-
1. Ni Marufuku Vits ku'ovateki /kupita Range
Rover - Faini Tsh. 500,000 or Kifungo cha
Maisha.
2. Kama Honi yako haifanyi kazi, gari lako
litauzwa kwa mnada inunuliwe...
Usiku umetoweka na jua limechomoza, kuashiria kwamba tunaianza siku mpya ya tarehe 6/12/2012 ambayo ndiyo siku aliyozaliwa kaka yetu, mjomba wetu, shemeji yetu, rafiki yetu na mwana JF mwenzetu...
Hay best zangu wa jf
Pokeeni zawadi ya xmass nimewatumia kwa furaha na upendo wangu wote.
haya kingeni mikono miwili mpokeee jamani
kama mtaitaji niwatumie mengi mtaniambia...
asilimia kubwa wanaoteremka kwenye fastjet wanaulizia usafiri wa bodaboda uko wap,punde tu wanapoteremka,sababu bei ya teksi inazidi nauli waliyotumia kwenye ndege
habari zenu wanajf wa arusha... mie mwenzenu natia mguu arusha this wikend na ningependa wana wa hapo a town mnipe data za wapi nitapata raha ya ukweli...utamu. na nytclub gani niweza pata wale...
Ousofia 01:59 Today
By Kipipi:
Chuki ni bureee!
Nakupenda kipipi mi sikuchukii hun
Edit Reply Report Post
Ousofia 04:24 Today
Dah coment ya mwisho kuhusu kipipi si mimi kuna mtu...
Girl:unavuta sigara?
Boy:navuta
Girl:umevuta kwa miaka ngapi sasa?
Boy:miaka 10
Girl:kwa siku unavuta pakti ngapi?
Boy:3
Girl:pakti moja shilingi ngapi?
Boy:sh 600
Girl:kwahiyo siku 1...
Husika na kichwa cha habari..kama jibu ndiyo..na upo maeneo ya ubungo...jongea eneo la ubungo ingia stand ya Daladala..nyoosha mpaka sehemu wanayopaki Magari ya Gongo la mboto...ukifika hapo Nipm...
Majambazi walivamia kanisan, wakaanza kufunga milango na madirisha.
Wakawaambia waumini kwamba watauwa kila mtu ila kwa kufuatana na herufi ya jina lako.
Wakaanza na mchungaji unaitwa nani...
Soma nmaneno haya haraka haraka.
Kuna kazi ya kutoambwa kwa wanawake tu.
Asubuhi unatoambwa,mchana unatoambwa na jioni untaombwa.
Mshahara ni maelewano
Jee utaiweza?Tahadhari mbwa mwenyewe ni mkali!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.