JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wana jf nimekua nikiota ndoto ambayo ni mbaya na huwa inajirudia siku ambayo nimelala bila kusali!Ndoto yenyewe ni hivi huwa nahisi kama kuna m2 ananinyonga usiku kwenye ndoto au ninaweweseka
0 Reactions
27 Replies
3K Views
KWENDA KWA;SCREENING COMMITTEE The Boss Mamndenyi Ruhazwe JR COPY;mwenyekiti wa kuratibu mahusiano na ndoa chitchat 2012 Baba V COPY:@Arushaone Mamzalendo COPY:@judgement BADILI TABIA...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Naona ndani ya wiki mbili thread za ndoto zimefululiza Chit-Chat,hadi jana wengine kuota vifo vya wenzao. Sasa nadhani ni wakati muafaka Chit-Chat tuanzishiwe sub-forum ya ndoto,ili wenye vipaji...
0 Reactions
4 Replies
904 Views
Hapo mwanzo Mungu alipoumba dunia akaitengeneza Ulaya na milima na barafu kali kila mwaka, Kisha akatengeneza Marikani nako akawatupia hali hiyo ya hewa ya kila mwaka kuwa katika msimu wa barafu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
hello, najua sasa ni usiku sana, wengi wenu mmechoka na mnaenda kupumzika sasa. kiukweli kabisa nisingependa mkose amani ilhali mnapumzika, hivyo kwa kila anayekwenda kupumzika usiku huu...
2 Reactions
103 Replies
5K Views
Kama wengi walio faulu darasa la saba hawajui kusoma wala kuandika JE WALIOFELI WAPOJE?
0 Reactions
37 Replies
12K Views
1.Je mnakumbuka timbwili za Mwalimu Singano na harakati zake za umwagiliaji matuta ya mchicha na Nyanya wakati wa asubuhi?.Sijui mwalimu yupo au amekwisha staafu?. 2.Je habari za summit na kwenda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kichaa mmoja alikuwa anatembea zipu ya suruali ipo wazi na huku kamshikilia mzee (m b o o ) akakutana na dokta Dokta; mbona umemshikila mzee nje nje Kichaa; kaishakufa huyu Siku ya pili akirudia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
naitaj kujua kama wana jf chit chat utamruhusu mtoto wako agombee mashindano ya umiss na kama autoweza mruhusu ni kwa sababu zip,na ukimruhusu ni kwa sababu zip? aya tiririkaa
0 Reactions
0 Replies
894 Views
Stori za mapenzi zimezidi ilhali mmu ipo. Simaanishi kinyume chake tulete stori za kugombana, laghasha! Ni changamoto tu kwamba tuwe wabunifu zaidi kwani kuna vitu vingine vingi vya kupost zaidi...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
dear Jf friends and chitchatters, ngoja niswitch language... mmmmhh(naguna kuweka koo poa) hope hamjambo marafiki wa jf na wanachichat kwa ujumla. hatimae ni mwisho wa mwaka, sio wote...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Zuzu mmoja alinunua gazeti,alipofika nyumbani tu akaenda kuliweka ndani ya friji. Mama yake aliyekuwa amekaa sebuleni akashangaa akamuuliza,"Mbona umeweka gazeti ndani ya friji?" Zuzu...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wapenzi leo siku yangu imeisha vibaya kweli,baada ya kazi nikawa nimekumbuka song flan hivi la Westlife maaana mi ni shabiki wao toka kitambo enzi za cost to cost hadi Lighthouse.Sasa hilo song...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
quote][/quote]
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Dah! Kweli Bujibuji kapamba moto! Threads hizo kama 9 alizozianzisha kwa leo tuu, ni mbali posts alizopost kwa leo! Naona hawa ndo wanaochangamsha JF
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Leo tutaleta lesson moja ambapo itasaidia kama chitchat kumjua mwandani wako ama rafiki na udhaifu wake ili mapenzi yenu ama urafiki udumu. Kuna aina nne za personality 1.sanguine ni watu...
0 Reactions
49 Replies
3K Views
Hakuna marafiki wa kweli kama makalio.Kwani makalio yanavaa chupi moja.makalio yanachapwa fimbo moja.Yanakalia kiti kimoja.Jee kuna marafiki wa kweli zaidi ya makalio?Jamba kidogo basi ili...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
waungwana leo nimeingia kwenye daladala nikawa nimesimama mara akaingia mzee na mwanafunzi wasekondali kama watatu kutoka kituo kinachofuata. yule mzee akawauliza wale wanafunzi ilikuwa hivi :-...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
A Year 5 teacher was giving her Primary pupils a lesson in developing logical thinking. "This is the scene," said the teacher. "A man is standing up in a boat in the middle of a river, fishing...
0 Reactions
0 Replies
981 Views
GEORGE: Mke wangu duniani kuna watu balaa kweli yaani kha!. LAURA: Kwanini mume wangu?. GEORGE: Huyu jirani yetu mlango wa pili. nani huyu wanamwita Massubo sijui. LAURA: Eee kafanyaje tena...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom