nilisafiri na pricsion kwenda
mwanza dada moja kakaa karibu yangu
anaonekana mstaarabu alikuwa kakaa dirishani
hakunisemesha baada ya muda nikawa naongea na
jamaa moja upande wa pili karibu...
Jamani nikiwa oficini leo nilipigiwa cm na bosi wa kitengo kingine akinijulisha kuwa kesho ntakuwa na massage ya dakika 90 yani lisaa limoja na nusu. Aliendelea kunitaka ni confirm kuwa nitaenda...
Sikuwa na Mchezo baada ya kumaliza shughuli zangu Kariakoo...niliamua kutembea kutoka K/koo mpaka kimara Mwisho....muda niliotumia ni Saa limoja na dakika 15....
...fitest for the fist...
Darasani kwetu alikuwepo mwanafunzi ambaye kwa kweli alikuwa mkali sana kwa masomo mengine yote isipokuwa Kemia. Ilipofika somo la Kemia yeye ndiyo ulikuwa muda wake wa kulala darasani. Siku moja...
Jamaa amelala had Asubuh..
Kuamka akaenda had bafun kupiga Mswak c akijiangalia kwny kioo
kujichek vzr c akajikuta amekufa
ikabd harud kulala thn await ndg zake waje wamzike
just smile
habarini za leo ndugu zangu!
leo sijaamka vzr kabisa naumwa nina malaria na tonsils juu..hapa nasikia baridi sana na kichwa kinauma sana. Natamani kusoma posts za ndugu zangu humu ila nasoma kwa...
Nimechoka na pressure toka kila kona wakuu,kila kukicha unazeeka ,unazeeka na nikiuliza nazeeka kivipi wananiambia mpaka leo hujaoa tu bado unasubiri nini..??Au unataka wanao waje kukuita...
....Tafadhari jamani nasikia vidonge tajwa hapo juu vimeingia mjini hapa....mvitafute wale wenye Matatizo na kupenda kuwa na nyumba ndogo......
Jamani vidonge hvyo vidonge mnakunywa wote yaani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.