JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Balaa la hii familia sijawahi ona,, Mtoto wa kongosho kamuoa lara 1, wifi yake lara 1 ni natalia,,,, ..................................
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Inakuwaje mtu anauandikia moyo wake barua? NA ukipata wasaa wa kuuandikia barua moyo wako utauambia nini?? Huu ni ujumbe wangu kwa moyo wangu: Dear heart, release Bishanga kwenye kaselo...
1 Reactions
44 Replies
3K Views
Traffick Zuzu alimsimamisha mwanamama aliyekua anaendesha gari mitaa flani hivi. Traffick: Naomba Leseni yako tafadhali. Mwanamama: Leseni ndo ikoje? Traffick: Ina shepu ya mstatili afu ina sura...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani jamani, Asikwambie Mtu, Chit Chat tamuuu.....!!!!!!!!!!, matumbo nilikumisijeeee, japo najua huko uliko unaguna tuuuuuuuuu.............!!!!!!!!!!!! Madame B nimerudi na Ari mpya, Nguvu mpya...
11 Reactions
372 Replies
16K Views
Wa Ndugu, Kama wiki moja hivi iliyopita nilikuwa Liverpool,UK kwa dhumuni la kumuwakilisha mteja wangu kwenye baraza(tribunal) moja la migogoro juu ya biashara ya pamba, nilipofika Heathrow...
0 Reactions
153 Replies
16K Views
Jana nikaamua kuwa swaga wa kitaa>.........!! Nimepiga tingasi karibia kila kona ya jiji hili lengo ikiwa ni kushangilia ushindi wa Siiiiiiiiiiiiiiiiii ahaaaaaa kumbe siyo Simba wajameni ni YANGA...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
jamaa mmoja usiku kucha alikuwa anajamba ovyo kila aina ya sauti,mara pwiii,fyuuu,puuuuu,yusuphuuuuu,tata taaa!!!Mkewe akamuuliza una nini leo.jamaa akajibu "natafuta ringtone ya ma.ta.ko yangu"!!!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
"The two most important days in your life are the day you were born and the day you figure out why." - Mark Twain
0 Reactions
3 Replies
984 Views
Nipo moro nimekuja jana kutoka Dar. siumnajua ugeni hatasijui niende wapi?wenyeji nipeni mwelekeo wa kuchangamsha macho na moyo.
0 Reactions
3 Replies
735 Views
Nimekaa nikaangalia faida na hasara za ndofu nimegundua yafuatayo! Faida za Ndofu: 1. Zinanipa kitambi cha kuzugia 2. Zinanipa raha kwa Muda Hasara za Ndofu: 1. Zinanigombanisha sana na Amyner...
9 Reactions
299 Replies
12K Views
Kazi Kweli kweli
0 Reactions
0 Replies
812 Views
juzi bado kidogo nivunje mbavu kwa kicheko nilipoambiwa eti Vitz aka yake inaitwa Baby Walker!,lol!haya,tupieni aka za magari mbalimbali wadau
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Juzi kati Dada mmoja ameaibika mbele ya wakwe zake, kisa meseji ya mapenzi kaikuta kwenye simu ya mme wake, kisa kamili jamaa baada ya kushtukia mke wake huwa anakagua simu yake akiiacha na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ukiwa kama mzazi utamfanyaje binti yako huyu?? Kakosea kutuma message akakutumia wewe mzazi na ipo kama ifuatavyo; ''mpenzi siwezi kuitoa hii mimba kwani nitaharibu kizazi changu kumbuka mpaka...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Do you see the brunette on the road? Yes this is one good looking brunette... WTF!!!
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Malkia Elizabeth alipokuwa Jehanam alimuomba Shetani (Msimamizi Mkuu) ampatie simu aongee na watu wake wa Ulaya, akapewa akaongea kwa dakika 5, akauluza bili akaambiwa ni Dola Million 5, akaguna...
3 Reactions
20 Replies
5K Views
"Short time" "Mchati" "Kwa babu" "Kulala"
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau najua wengi wenu mnajua kuwa kuna Simba TV je wenzangu mnijuze inapatikana kwenye frequency gani ? Nina hamu sana na Tv ya chama langu au mambo ndo@yaleyale ya uwanja pia kiza totoro...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Guys leo nimejikuta nakumbuka siku niliyoonja pombe kwa mara ya kwanza! Ilikuwa standard 2 wakati tunaiba za mzee then tunajazia maji akaja kustukia kitu hakiwi na ladha akatuzingua balaa ila...
0 Reactions
62 Replies
4K Views
Kaunga, njoo huku unaitwa.
0 Reactions
44 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…