Wakubwa zangu shikamoooni (Wajameni mnipe kura i greet you like every day!)
Peopleeeeeeeeeeeeeeesssssssss!!!!!!!! Niajeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!
My peoples people wa ukweeeeeee, people wa...
teja aligombana na babaake.akatoka nje akiwa amekasirika akaenda moja kwa moja hadi kwenye geti la makaburi afu akabandika picha ya babaake chini ya picha akaandika "COMING SOON"
Leo wakati natoka job narudi hm, njian nilikutana na kijana kama vile katoka kuvuta ile kitu(bange), aliponiona tu akasimama na kuanza kucheka sana baadaye akanyooshea kidole uelekeo wa mdomoni...
Wapendwa wana chitchat naombeni kura zenu za nusu fainali mpaka fainali. Jamani tafadhalini sana tena sana nichagueni ili niwe miss chitchat wenu. Naombeni ushirikiano wenu
Wakuu habari zenu.
Wenzangu nanyi mmeipata habari hii ya kuwa "MBINGUNI ni KIGAMBONI. HOUSE GIRL NI HALALI YAKO ZAANAE.Wababa mnapaswa kuwa na WAKE ZAIDI YA 7, WANAWAKE mlio katika ndoa WAPENI...
Niwatake radhi kwa kuchelewa.
yafuatayo ni majina ya washiriki
KUNDI A
1. Ciello
2. FP
3. charminglady
4. pretty n
5. snowite
KUNDI B
1. Arabela
2. Natalia
3. CUTE...
Yaani hamwezi amini jinsi ambavyo imenuna leo tangu asubuhi umeme ulipokatika na sasa ndio kwanza umerudi dakika hii. Jamani wanajamvi mu wazima? Kama nanyi limewapata hili poleni! Lakini kubwa...
Habhar yenu bhana!
Utakumbuka kila mwezi huwa tunakuwa na mchakato wa kumsaka miss Chitchat.ukilejea mtililiko tayari tuna mamiss watatu kama ifuatavyo:-
1. Mwezi Aug tunaye miss cacico
2...
Wadau,
Kuna tetesi eti Dereva wa Treni inayofanya ruti ya Ubungo~Posta jana alijisahau akadhani ni inaenda Kigoma hivyo akawapeleka huko.
Kwa sasa yupo Kigoma na abiria wake wanajiandaa kurudi...
Kimsingi lara1 nje na vigezo alivyo navyo vya kuwa miss jf chit chat, ana extra ordinary capacity katika kutoa ufafanuzi na ushauri wa maswala mbalimbali yanayoikumba jf, fuatilia mchango wake...
KWELI FULL BALANSI
AFRIKA > WAZULUMIANE NA KUONEANA, WAPE VITA WAUWANA WENYEWE KWA WENYEWE
ULAYA > WAPUNGUZE PESA ZA KUTUMIA ILI WA HAHE NA WASIJUE PA KWENDA
AUSTRALIA > WAPE MOTO NA...
He!
Kumbe leo sijakusalimia,
Bwana Yesu acfiwe,
How are u,
Hujambo,
...Mzima,
Shikamo,
Cheichei,
Ulimhola,
Ongamshi,
Mwadela,
Bonjour,
Shimbonyi,
Kamwene,
Urewedi,
Waongera,
Uramkaze,
Twalinu...
Leo ni Sikukuu ya Watu wasiotumia Condoms duniani, Wish kwa wote ambao unajua hawatumii condoms..
Salam zangu ziwaendee Bujibuji , Sikonge ,Preta Kaunga...