JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
sijawahi kutoswa,ila mi nimtosaji alafu cha kushangaza mie n wakawaidaaaaaa.. siri ya mafanikio n kujtambua,kujitamin na kujiamin
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Husband wanted to call the hospital to ask about his pregnant wife, but accidentally called the cricket stadium. He asks, How's the situation? He was shocked & nearly died on hearing...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
A man and his youngest son are having a Conversation when the son asked.: Son: "Dad,whats the difference between ''potential'' and ''reality''? Dad turns to wife: would u sleep with George W...
0 Reactions
2 Replies
995 Views
Boy : i love u . Girl : i hate u . Boy :u sure ? Girl :am sure . Boy :waiter ,bill for me alone...... Girl : hey... hey... I LOVE YOU ! ! !
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Eti chupi kazi yake nini? Ukivaa haijulikani, usipovaa haijulikani, ikionekana unaambiwa umekaa uchi, ukikaa uchi utasikia hujavaa chupi, sasa hapo chupi ya nini?jamani kama sio kuoneana??
1 Reactions
12 Replies
7K Views
Maduu wa Dar es salaam nawakubali ila linapokuja suala la ung'eng'e watoto wa Kiarusha wako vizuri!katika kila maduu kumi wa kiarusha nane kimombo kimelala wakati Dar katika maduu kumi wawili ndo...
6 Reactions
61 Replies
6K Views
I am a man here i am looking only friendship,jaman mi natafuta marafiki wa kubadilishana nao mawazo,aliye taya ani PM.
0 Reactions
18 Replies
2K Views
hii ni kiboko sasa
0 Reactions
7 Replies
2K Views
wasalaamu, kutokana na mashindano ya kumsaka miss chitchat naomba kura zenu kwa Arabela nipochinii ya miguu yenu,naomba sana
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Jamaa m1 alikua amekaa baa akiitizama bia yake kwa zaid ya dk 20,akaja baunsa akachukua bia na kuinywa yote..yule jamaa akaanza kulia baunsa akamwambia uclie nilikua nakutania 2...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Kudadadeki...huu ni wizi wa mchana...enyi wenye maduka na migahawa ya chakula komeni kabisa na hii mbinu mpya ya uwizi wa mchana... eti unaenda dukani tena kubwa tu...anakurudishia chenji alafu...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
fungua hapa ..najaribu tu
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huna ndugu aliyepanda treni la Mwakyembe? inasemekana dereva kajisahau alijua ni longtrip,sasa hivi wako Makambako ndo wanarudi tena Dar.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika basi mama mmoja alitaka kumnyonyesha mtoto.mtoto akakataa,mama akamwambia nyonya,kama hutaki nampa anko anyonye!" anko ni kaka mmoja abiria aliyeketi na huyo mama. Mtoto akanyonya kidogo...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Teacher:"What is a verb?" Student:"A verb is a valve found on a bicycle." Teacher:"What are you saying?" Student:"Its a complete sentence." Teacher:"Are you mad?" Student:"Its a question."...
0 Reactions
7 Replies
826 Views
Mambo vp wana jf, jamani huwa najiuliza mara kibao lkn sipati jawabu, issue yenyewe iko hivi, hivi ukienda kununua gesi utajuaje kama imejaa ktk mtungi ulioununua? Mimi naona kama tunaibiwa kwani...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Ilikuwa kwenye Kitchen Party.... "Mwanangu maana ya ndoa ni Ikulu, Mume akikwambia anataka Ikulu na wewe mjibu na mie nataka Koni.. Akileta Koni yake ikamate kama Mike, ichezee, irambe mpaka...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
God created the donkey & said to him: “You will work unceasingly from sunrise to sunset carrying burdens on your back. You will eat grass, you will have no intelligence & you will live 50 years...
1 Reactions
0 Replies
785 Views
Back
Top Bottom