JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Leo nina Mzuka wa Kufumania humu baada ya kuhitimu zoezi la kulenga shabaha. .....nimetumia Risas kumi sijakosa hata moja. Endeleen kumfata fata...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Wana chit chat naomba munielekeze jinsi ya kuweka picha kwenye profile yangu, samahani kama uwanja huu hauusiki ila hata mwenyenyumba huosha vyombo housegirl akisafiri.
0 Reactions
0 Replies
603 Views
,,,,,,,,,,,,,,,,,,, Ni namna tu ya kutaka uwe attention na thread hii,...........Kiukweli nakupenda sana,kukuacha siwezi,wala sitegemei kukuchukia,kukuacha ni wewe tu wa kunipoza moyo wangu,real...
1 Reactions
52 Replies
3K Views
husika hapo juu,kama hujui kaa pembeni...
0 Reactions
76 Replies
21K Views
KWA wakazi wa Dar es Salaam, mawingu yanapotanda angani na kutengeneza giza ambalo huashiria mvua, kwao huwa ni jambo la kawaida na pengine ni ahueni kwa karaha za joto kali. Lakini kwa...
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Nakosa hata pa kuanzia kutoa kilio changu toka kwenye mtima wange.... Naamini isingekuwa kuwa wewe sweetlady kunirubuni leo ningekuwa na furaha Isingekuwa wewe kuja kunitongoza kwa maneno matamu...
8 Reactions
60 Replies
4K Views
Nimeokoka na nampenda Yesu - 2 likes - 1 comment Najua ntafaulu mitiani yangu - 5 Likes - 3 Comments Leo lazima nichek Premium league - 10 Likes - 5 Comments Daah leo nimeduu na madem wa3 ila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamaa alikuwa ameshika document anazisoma akiwa na mkewe kitandani mara akaanza kucheka sana!!!!!!!! mke akaamua kumuuliza mbona una cheka sana nini kimekufurahisha jamaa akamjibu nimefurahishwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
[MUUZA DUKA];Oya,usivutie sigara hapa!. [MTEJA];Lakini si nimeinunua hapa hapa?!.[MUUZA DUKA];Ina maana hata ukinunua condom uta.......hapa hapa?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wanabodi, Napenda kutoa pongezi kwa wanafamilia wa Chit-Chat kwa kuonyeshana mapenzi makubwa na kuwa wamoja inapendeza sana...Copy kwa King Kong III, Asprin, Madame B...
17 Reactions
105 Replies
6K Views
Ningependa kujua ile Avatar inayomuonyesha jamaa kang'ang'ania mguu wa Police ni ya nani? Nimemsahau kidogo. . . . .
3 Reactions
24 Replies
2K Views
wasalamu Baada ya vuta nkuvute za uchaguzi wa miss chitchat katika ngazi ya Nusu fainaly yafutao ni matokeo:- GROUP A 1. Cute Kura = 4 2. Madame B kura = 23 3. nivea kura = 2 4. Preta kura...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
mimi kila nikiingia ktk intaneti napita ktk hizi sites 1.www.jamiiforums.com 2.www.soccernet.com 3.www.harusiyangu.com 4.www.yahoo.com 5.www.facebook.com leo nimekaa kutwa nzima ktk net mpaka...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
1(3g+27)=3t soln 3g+27=3t 3g/3+27/3=3t/3 = g+9+t ans = G9t.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
huyu ni Tyra Banks......mweeeeee............ halafu mtu aniambie nisijipake......inahuuu....... copy kwa : lara 1.. cacico... charminglady... sweetlady... Kongosho.. CUTE...
4 Reactions
76 Replies
7K Views
Nilipewa mwaliko wa VIP......Nilikuwa nazunguka zunguka jana viwanjani (Tshirt ya mistari na nimevaa ID shingoni).... watoto wadogo wa kike may be age from 13 walikuwa wengi sana.... Wana Jf...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari ndio hiyo, leo tume dish biriani Bagamoyo ilikuwa shangwe kweli
0 Reactions
2 Replies
983 Views
Guy: "Between Me and the Toilet, Whom do you Love Most?" Girl: "Obvious its you, why do you ask such a Stupid Question??" . . . . . . . Guy: "Because you drop Your pants soo fast For...
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Hello Chit-chatters.. Napenda ku-share japo kwa kifupi sana siku ya kwanza kulia kwa furaha.. Kitambo nilipokua fomu tuu kuna binti nilimpenda sana na nikawa namtengenezea mazingira takriban...
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Hakuna kitu kizuri kwenye hili jukwaa la jokes/utani + udaku/Gossips kama watu ku-comment thread yako. Ukiwa kama ndugu/jamaa/rafiki/mdau wangu wa karibu, naomba uko-comment chochote kile ili...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…