kwa kuziunganisha hizi signature........
mfano: baada ya kusema "MIafrika ndivyo tulivyo" mwenyekiti wa kikao alimfuata akamnong'oneza "If you can't convince them, confuse them." ndipo alipoibuka...
Kituo kipya cha Televisheni kinazidi kupata umaarufu nchini Marekani.
Kituo hicho ni maalum kwa ajili ya mbwa. Kituo hicho kiitwacho DogTV kimepata umaarufu mkubwa mjini San Diego na sasa...
What you do on skype? I can call my friends free of charge and without a time limit.
I use skype alot, its a great tool for getting naked and masterbating on cam for people
"mimi nakwambia thithi ndio chelthii, wale bathelona hawatuwedhii.
Thii unaona methii alivyokabwa, thatha thubiri Nou Camp!"
Hiyo ni sehemu tu ya mabishano
Kuna mtoto amejitokeza mbezi mwisho ya kimara taahira mwenye umri takribani miaka 16 anaitwa Elizabeth,huyu mtoto ni hatari sana,kitu anachofanya akiona mtu anapita hasa mwanamke anamwomba hela...
Kila mtu analaumu oooh spika sijui kafanya nini mara kafanya kile...sijui kimekuja hapa kikaenda kule......
Mbona Watanzania mnakuwa wagumu sana kuelewa jamani!! Mnakuwa kama hamjasoma...
Nakumbuka nilipokuwa mtoto kila nilipokwenda stesheni (Tbr) nilikuta injini za tren zipo on muda wote, pia mabehewa yakisukumwa kwenda mbele na nyuma. Hapo nilidhani kwamba injini ya treni...
Jamani Niko mbali na mheshimiwa
Kanambia mama watoto naomba niruhusu leo nitoke out naenda pale kanga moko ...
Nimejikaza na kumwambia pls go honey you know i trust you..
ila roho inauma kupita...
Shemeji yangu klorokwini
Umekosekana kwa muda sasa hapa jamvini jamani am concerned!
KWa yoyote atakayemwona naomba anifikishie salamu zangu.
Aksanteni.
.... Sina nia mbaya na mtu hapa... Ila nahitaji jihusisha na hili...
Simaanishi kwamba wewe ni jobless au unakaa bure... NO.
Kongosho, ErickB52, Bagah, ... etc..
Hawa ni mfano tu..unaweza...
Ndugu zangu nasoma gazeti moja hapa
loh kunamwanakamati mmoja alieshiriki na kuvaa makoti meusi kwenye
mciba wa kanumba ameonekana jana mara ya pili akizunguka zunguka kwenye
show rooms za...
Kwanza sitafanya kama wengine wengi wanavyopendelea harusi ziwe za namna gani, ya kwangu itakuwa kama hivi:
1. Chakula- Mihogo za kukaangwa na za kuchemshwa.
Nyama za kuchoma...
Mama mmoja alikwenda na mjukuu wake wa 3yrs Supermarket kufanya shopping shoprite. Alipokuwa kwa counter kulipia, mjukuu wake akaanza kushikashika pipi na chocolate. Ikabidi mama amkanye...