hey wana jf; kuna watu wanauliza maswali ambayo ni ya kizushi, dawa yao kuwajibu dry, kama hivi
(kwenye foleni mwisho)
S:we ndo wa mwisho kwenye line?
J: hapana mi ni wa kwanza tumesimama...
Wadau ebu tutaje IDs zenye majina yalizuka kulingana na msimu(kipindi)
Mfano:
Polonium210---Mambo ya mwakyembe
Kibela----Tangazo la kampuni ya simu nyavu zimecheua
Lakuchumpa---Song Jipya...
Baada ya thread ya Wachaga na makabila mengine, leo ni kufunguka kuhusu wahaya(akina Rweikiza, Rweigamba, Rubanzingo, Kokushubila, Kokunyegera na wengine ndio ninaozungumzia). Funguka.
Hapo zamani kwenda na mfuko wa rambo shuleni ilikuwa kawaida
Hapo zamani kulamba makamasi ilikuwa kawaida saaaana
Hapo zamani kuokota hela ilikuwa kawaida sana, siku hizi hata hela ya bandia...
binafsi IMENIKALIA vizuri...hakuna stress hakuna kwikwi...wala mori aisee!..
ujue we live once...SO MAKE THE MOST OF IT...kuna watu ni vijana lakini wanaishi maisha ya kizee!...tumia kidogo...
...Napendekeza tutafute memebr ambaye tutamsimika Uchifu wa Jf Chit-Chat...
...kama wanavyosimikwa..viongozi wengine....
....Pendekeza Jina la Member...asimikwe Uchifu....awe Me au Ke...ili...
Mi wakinipa hii nchi kwanza wanyoa viduku wote nawatia ndani, na jeshi lote nalivunja, jeshi la nn akat nchi ina amani, masharobaro wote wanakuwa wahudumu wa bar, wewe ukiwa raisi utafanyaje?
Mpenzi wangu wa muda mrefu aninishangaza!
Mimi nilisafiri kwa takribani mwaka mmoja lakini tulikua tunawasiliana kama kawaida
Baada ya kurudi tukawa pamoja kama kawaida lakini nilianza kuona...
Susan Dhliwayo was stunned when she pulled her car over recently to pick up a group of male hitchhikers and they refused to get in. The reason? They feared being raped.
Sensational reports of...
Wakazi wa MBAGALA wanagombania usafiri wa basi kama kawaida yao, bibi1 alipanda bila shida akapata SITI alianza kulia sana,konda akamuuliza
"bibi unalia nini sasa" Bibi akajibu" miaka yote 35...
vyakula hivi vifuatavyo vinafanana sana na U-UME...nasikia vinasaidia sana pia katika maswala ya NGUVU za KIUME...JE unafahamu hivyo?au hata zaidi ya hapo!
Kuna mambo 9 ninayajua
kukuhusu wewe...
1.Unaisoma hii joke yangu.
2.Huwezi kugusa meno
yako yote kwa ulimi wako.
4.Umejaribu kuyagusa.
5.Unacheka/umetabasam.
6.Hujagundua kama
nimeiruka namba 3...
Hivi itakuaje siku chama cha upizani ikitinga ikulu, mfano, Dr Slaa ndo Rais wa Tz' sherehe zitakuaje mtaani! Nadhani walevi watalewa wiki3 bila kwenda jobb, kwa sisi wacha MUNGU 2tafunga wiki...
Kukopa wakati huna uwezo wa kulipa.... Uliwaza nnini???
Kuvaa kata k aka mlegezo wakati chupi chafu..... Uliwaza nini???
Kula kavu kavu wakati unajua anaumwa ngoma.... Uliwaza nini???
Kupanda...