JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nimeshangaa kusoma kwenye gazeti leo kumbe laptop inaitwa kompyuta mpakato lol!
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Uaminifu kwenye mahusiano ya kimapenzi siku hizi ni mdogo sana. Natamani "Wachina" wangegundua dawa ya kuweka kwenye samsingi ya patna wako, akibetray unagundua!
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Bonzavoclemeeee!!!
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Hivi kwa nini wabongo wengi wana tabia ya kuchungulia wallet? Ninasema haya kwa sababu yameshanitokea sehemu nyingi, kama ukienda saloon(kiume au kike) ukitoa wallet kama unataka kulipa utaona...
2 Reactions
48 Replies
4K Views
Nachukua nafasi hii kuwapongenza TFF kwa kuwachukuli hatua za kinidhamu wavunjifu wa amani kwenye mpira wa miguu. si wengine ni yanga ambao walionekana kuwa tyson dhidi ya refa ,hivyo basi...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Siku moja Papa Benedict 16 aliamua kwenda kwenye Matembezi akamchukua dereva wake lakini akamwambia amwache andeshe mwenyewe kufika njian akakutanna na trafic akamsimamisha kuangalia vizuri...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Bill Gates in a restaurant.... After eating he gave the weiter a tip of 5$ the weiter was annoyed n Gates realized that.. Gates; What's wrong..? Weiter; on the same table sat ur son...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
INSTALLING HUSBAND!!! A woman writes to the IT Technical support Dear Tech Support, Last year I upgraded from Boyfriend 5.0 to Husband 1.0 and I noticed a distinct slowdown in the overall...
1 Reactions
2 Replies
887 Views
Reply DEAR Madam, First, keep in mind, Boyfriend 5.0 is an Entertainment Package, while Husband 1.0 is an operating system. Please enter command: ithoughtyoulovedme.EXE and try to download...
1 Reactions
6 Replies
947 Views
Kusema ukweli, mama ni mama.Nakumbukia na nayaona matumizi ya baadhi ya maneno aliokuwa akinieleza mama enzi nikiwa nakuwa.. 1. Usingizi hauishi mwanagu.. 2.Huwez kuacha kutamani mwangu,ila...
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Ngoma yetu ya asili watu wa manda ludewa inaitwa MGANDA. Tunacheza tukiwa tumevaa kaptula nyeupe na mashati meupe huku tukipuliza "ligubu" na tukiwa tumeshika mkia wa ng'ombe mkononi. Ngoma ya...
1 Reactions
3 Replies
5K Views
Ni sababu gani zinazosababisha laini kuexpire? Kwa nini TIGO hawakoclear kueleza laini zao zinaexpire baada ya muda gani, ili mtu ujue kabla, kwani kuna wakati laini inaweza kuharibika ukiwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
1: Their Last Name Stays With Them Forever, 2: Phone Conversations Last Just For 30 Secs Flat, 3: A Five Day Vacation Requires Only One Jeans, 4: If Someone Forgets To Invite Them,He Can Still Be...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Members , Ni matumaini yangu tumeamka salama J'3 ya leo. Wiki kadhaa nyuma nikiwa katika mishemishe zangu za kusaka daily Bread , dira zangu siku hiyo zikahitaji niende pembezoni mwa Jiji...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
INSTALLING HUSBAND!!! A woman writes to the IT Technical support Dear Tech Support, Last year I upgraded from Boyfriend 5.0 to Husband 1.0 and I noticed a distinct slowdown in the overall...
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Huyu jamaa niaje arifu? Eti anasema kama kukojoa ni SHORT CALL na Kunya ni LONG CALL eti basi KUJAMBA ni MISSED CALL
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nikiwa kama Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya harusi hii kubwa, napenda kutoa taarifa kwa wanajamii wote mtoe mapendekezo ya Wenyeviti wa kamati mbalimbali na wajumbe wa kamati hizo ili...
1 Reactions
317 Replies
16K Views
Jamaa alirudi nyumbani kutoka kazini mchana bila kumtaarifu mkewe! Kufika akaingia ndani moja kwa moja, akamkuta mkewe kavaa chup* peke yake, yupo na njemba kifua wazi wamekumbatiana. Jamaa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
jamaa kutembea tembea akapita karibu na kiwanda cha tbl si akaanguka! watu walio kuwa karibu wakajua amezimia kwa uchovu au njaa si wakatafuta maji wakaanza kum mwagia ili azinduke,jamaa aka amka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heloo wana jf chart hii mwaonaje?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…