TOTO:Mama unajua hausigel wetu ni malaika?
MAMA:Kwa nini unasema hivyo?
TOTO:Jana nilimuona ameshikilia ukuta akiwa uchi na mikono ameinua juu anaongea na Yesu anasema... Ooooh yesu wangu...
Basi j2 hii 2kiwa katikati ya ibada, nlikuwa nimekaa na jamaa mmoja hivi pembeni yangu, tukiwa tunaendelea na ibada akaja jamaa m1 akakaa karibu na jamaa yangu, jamaa akawa ananuka fegi vibaya...
Ktk harakati za maisha ya mjini, wengi wetu tunaanzia (pengine kuishia) maisha ya kupanga. Na ktk lyf stail hii, kuhama mtaa mmoja kwenda mwingine ni jambo la kawaida(coz wenye haus wengne ni...
wakuu mnaweza kunifafanulia eti inakuwaje wadhungu wengi duniani wanatumia mikono ya kusho?waafrika wanaotumia ya kushoto ni wachache ukilinganisha na weupe
Muda mrefu sana watu walikuwa wanajiuliza hv mheshimiwa mama makinda hana nywele kabisa coz mda wote yeye style yake ya nywele ni moja tuu ya kuvaa wigi wiki iliyoisha ameonekana jimboni kwake...
Hivi najiuliza cpati jibu wana sayansi na wataalam wa baiolojia ya mfumo wa chakula naombeni jibu haja kubwa inatokana na kula chakula tuu je kama hujala chakula huwezi pata jaha kubwa kabisa? Na...
Sex is like NOKIA (connecting people)
like NIKE (just do it)
like PEPSI (ask for more) and
like SAMSUNG (everybody is invited)
Ongeza basi wewe :welcome:
RAIS wenu ninawasalimu katika jina la JF. baada ya miaka mingi kwenye za kupanga hatimaye nataka kujenga.sasa nimepata kiwanja maeneo ya tabata kinyerezi kwa bei nzuri na kipo eneo zuri pembeni...
Katika mwili wa binadamu tunavyojitambua kuna kitu ambacho kimepewa majina mengi? Kama huelewi basi hembu angalia hapa chini uone ni kitu gani haswa ni kwa wanaume na baadhi kwa wakina mama...
Mheshimiwa sana,
Pole na Majukumu.
Kawaida ya binadamu makini na mahiri ni kuthubutu kufanya kile anachoamini ni sahihi.Kuikweli mtazamo wangu kuhusu wewe Mheshimiwa ingawa ni wa kiharakati...
MASAWE (wa utani) alitaka amgonge (si gari) MANKA (wa utani) ki1 cha fasta fasta ofisini kwao kisha ampatie hela elfu10.
MANKA akagoma!
MASAWE: Nitafanya fasta darling, nitaweka HELA sakafuni...
Tarehe 29 February ('leap day'), ni tarehe inayojitokeza katika baadhi ya miaka tu (i.e. miaka inayogawanyika kwa 4 lakini isiyogawanyika kwa 100 - ukiacha ile inayogawanyika kwa 400).
Sasa kwa...
HIVI KWELI HUU NI UUNGWANA? Umetuma maombi ya kazi na CV yako inawaka na kung'ara. Kiingereza chake safi na ujiko uliojipa unafanya CV isimame kati ya nyingi. Uliyemtumia anaona una "potential"...
Kwa wale wenyeji wa Dodoma watakuwa wanaifahamu hy Bar maarufu kwa kuuza nyama choma, kuku nk,Kwa wanaopenda kwenda bar hy ningependa kujua kuna kitu gani tofauti sana na bar nyingine za Dodoma...
Mnamo Juni mwaka 2009 nilivamiwa na vibaka nyumbani kwangu na kuibiwa vitu fulani fulani pamoja na kujeruhiwa mimi na familia yangu. Tukio lile tuliliripoti Polisi, lakini kutokana na majukumu...