kwa maelezo ya mkuu wa usafiri wa daladala AR amesema huo ulikuwa si mpango wa wenye magari. Amesema ni wahuni tu waliotaka kuleta fojo hizo ambazo ni za kisiasa zaidi. Haya ni maigizo.
A group of young women decided to arrange for a camp with their mothers-in-laws to hopefully get to know and understand each other better seeing relations between them were very sour...!
Two...
sisi mabachela huwa tuna mtindo wa kuweka masilver, yaani pesa za sarafu kwenye kabox chumbani kwetu, au kidroo kidogo cha kitanda. yani ukitoka kwenye mishemishe zako, silver zote huwekwa hapo...
Kwa kauli na msimamo uliotolewa na Uingereza kwa hakika wametuabisha au tumejiaibisha.
Wametupa misaada kutulemaza na sisi tukalemaa na kujikuta tumekuwa mateja wa misaada, tukaacha kufanya...
Jamani hii imekaaje? UN imesherehekea mtoto aliezaliwa huko Ufilipino ambae ametimiza idadi ya watu bilioni 7 duniani, Maswali machache.
1. Kwanini UN wakaamua kufanya maadhimisho hayo Philipin...
Wake wawili wanao mgombania mwanaume mmoja wameanzisha vita ya uchawi ili mradi kukomoana tu.
Juzi mke mkubwa alimlaza mke mdogo juu ya mbuyu kimazingara kisa kamzuia mume kurudi kwa mke mkubwa...
Ugonvi haukuhusu ya nini kutangazia ulimwengu kuwa unaunga mkono uvamizi wa kuwasaka na kuwaangamiza magaidi, huoni kama utajiletea matatizo ndani ya nyumba yako? Kwani huwezi kuunga mkono kimya...
10 Husbands, Still a Virgin
A lawyer married a woman who had previously divorced ten husbands.
On their wedding night, she told her new husband, "Please be gentle, I'm still a virgin."...
Jamani wilaya zote za mkoa huu zina manailon kitandani. Mimi ni mgeni kabisa huku, nimejaribu kuwauliza wenyeji wangu wananiambia eti mipira hiyo ni kwa ajili ya tendo la ndoa.
Lakini cha ajabu...
Baba na mama wanatoa shule kwa mtoto wao pekee wa kike namna ya kuwakataa watoto wa kiume
Wazazi: Si unajua tena wewe ni binti yetu pekee na tunakupenda sana, angalia wanaume watakuharibu...
Impossible to Please
A group of girlfriends is on vacation when they see a 5-story hotel with a sign that reads: "For Women Only." Since they are without their boyfriends and husbands, they...
One day a man came home from work earlier than usual and caught his wife in bed with his best friend.
The husband grabbed a gun and shot his friend to death.
His wife said, "You know, if you...
Afisa misitu kaenda kwenye shamba la miti ya jamaaa kukagua.jamaa akamwambia asiingie sasahiv . Afisa akatoa kitambusho cha kazi." We ni nani wa kunizuia? kwa hiki kitambulisho ,hakuna wa kunizuia...
Barabara nyingi sana naona zimewekwa vibao vya kuzibwa njia. Vibao hivyo vimefunikwa kwa magazeti.
Sijui itakuwaje vikianza rasmi kufanya kazi, nahisi badala ya kupunguza msongamano mjini...
Bibi kizee mmoja alikuwa anasafiri kwenye basi usiku na siti ya nyuma yake alikaa kijana mmoja. Wakati safari inaendelea akawa anainama chini ya siti yake anachukua kopo la castle na kulipeleka...