Wakuu tumeweza kudhibiti hali ndani ya chama katika mikoa yote na uchaguzi wa ndani ya CCM unaokuja tunahitimisha kwa kuwavua uenyekiti JK na Nape, hivyo kwa mipango hii 2015 ndani ya chama tupo...
Kulikuwa na harusi ilifanyika kanisani, wakati misa ya ndoa ikiendelea Mchungaji ikafika wakati wa kuuliza kama kuna mtu mwenye kipingamizi na ndoa, babu mmoja na mkongojo wake akajivuta taratibu...
1st woman: Hi! My name is Sandra.
2nd woman: Hi! Im Sylvia. Howd you die?
1st woman: I froze to death.
2nd woman: How horrible! :embarassed2:
1st woman: It wasnt so bad. After I...
sasa nimejua kwanini wachezaji wakubwa wakiwa na ukame wa mabao kujiamini kunashuka!kweli mwanaume siyo sura bali ni kazi ya kiume!wiki kadhaa sasa kila nikilala na mzigo nashindwa kuperform...
jamani kuna lili tangazo la condom! kuna jamaa anaingia clab..alafu anaelekea caunter alipofika pale cjui alikuwa anatoa nini mara pakiti ya condom ikadondoka mwisho wanasema USISAHAU KUONDOKA...
Amani ziwe juu yenu wana JF.
Namshukuru Muumba nimefika Dar es salaam salama kabisa. Na nilipokuwa njiani kutoka airport kuelekea ninapofikia Upanga , mtaa wa maliki nilistaajabu kuona Gari...
Wakubwa samahanini sana nauliza tu huyu mtu Lizzy yuko wapi siku hizi? Alikuwa ananibariki sana na uwepo wake humu na sijamuona kitambo kidogo. Mwenye data anijuze maana huenda mwenzetu ame "ngo"...
naangalia kipindi cha dakika 45 itv anahojiwa samuel sita huyu mtangazaji anauliza maswali maraisi ambayo hayana argument sijamkubali kabisa hajui kutangaza ovyoo
Ile ban yangu ya miezi miwili imepotezewa na sasa nipo huru. Kwakweli siku 4 za ban zimenifanya niwe dhaifu, mnyonge na kuishiwa nguvu kabisa. Nawashukuru wale wote ambao walilia sana ili...
Q: Why are condoms transparent?
A: So that sperms can at least enjoy the scene even if their entry is
Restricted!
Signboard outside a prostitute's house:
Married MEN not allowed. We serve the...
Ndugu zangu leo nimekaa nikawaza ivi ikitokea uko kitaa ukasikia mtu anaitwa funzadume mawazo yako yataenda wapi?ID gani nyingine zinazofuraisha humu Kwenye forum ambazo ukiwa unasoma post zao uwa...
Ivi ingekuwaje kama siku mods wakatoa ombi la ushauri kwa member kuhusu jukwaa gani lifutwe na ungependa jukwaa la namna gani lianzishwe? Je wewe ungejibuje,mie ningeomba lianzishwe jukwaa...
Ripoti yako ni kama ifuatavyo:-
Kuoga F+ (Maji shida),
JF A+
FACEBOOK A+
Wivu A+,
Uvumilivu A,
Uchokozi A+,
Kuzurura A,
Kulala uchi A,
Kuchukua bibi za watu A+,
Siasa A+,
MAPENZI KAZINI...