Naomba kuulizia watanzania wanaoishi Brazili kwenye mji wa Brasilia...! Mimi ni mgeni natarajia kuja huko Brasilia kibiashara. Naomba msaada wenu wa kujua hoteli za bei rahisi walau kuanzia Dola...
Kuna sehemu ulitokea msiba ambapo mama mmoja alikuwa analia sana kiasi cha kuonekana ameguswa sana na ule msiba,lakini baadae watu wakashangaa amekaa kimya halii.wakinamama wenzake wakamsogelea...
Sa we naye unahusika kwa namna ipi mpaka umefungua, ukasoma, na tena ukasonya au ukatabasamu na sasa unataka kuondoka bila kuacha coment! Haiwezekani kwasababu umefungua the lazima useme jambo........
Jamani mie kuna kitu sifurahishwi nacho sijui wenzangu mnakionaje?kitu hicho ni kwamba facebook ni tandao wa kijamii na mawasiliano na kunganisha watu, lakini kuna baadhi ya waru wamegeuza sehemu...
In this special date, some years back, uliletwa hapa duniani
Na sote tunafurahia uwepo wako hapa duniani na zaidi Jamvini
Hivyo tuna sababu, nia ya dhati na tashwishi ya kuwa nawe leo
Siku hii...
f(x) =y.
where
x= msichana mwenye umri wa miaka 18-20
y= Mwanaume mwenye umri wa miaka 32+
Maana yangu ni hii maturity ya x ni sawa na y. Hii ina maana kuwa mwanamke wa miaka 18-20 anaolewa...
Kulikuwa na watu watano wanasafiri kwa ndege, ghafla wakiwa katikati ya safar ndege ikaaza kuleta matatizo na kwenye ndege kulikuwa na parachuti nne tu:
Wa kwanza akasema ;.. Mim ni Hillary...
ivi ni kweli kwamba mwanamke si wakuaminika au wao ndio sio wakuaminika loh! mana cjamuelewa huyu lee footy kamaanisha nn hapa au ndio anataka kuiambia nn dunia
Rais ana bifu na Waziri mkuu wake na anataka kumtimua kazi.Ili kujitoa lawamani,anamwambia Waziri mkuu;nimekuandalia barua hizi mbili;moja imeandikwa ndani'YOU WILL STAY' na nyingine imeandikwa...
For long time silence from his girlfriend,he desided to send sms which state as;
'What happened to our network,when am texting u,your heart not deliver.When am calling u,your love is not...
A psychiatrist was conducting a group therapy session with four young mothers and their small children. "You all have obsessions," he observed.
To the first mother he said, "You are obsessed with...
Katika siku zijazo ..na na uwepo wa JF hapa duniani ..itafungwa ndoa ya kwanza ya wana JF kati ya SI na ...........(anajijua) hio ndoa/arusi /sherehe) haitawaweka wana JF pembeni kwani ni zao la...
Acha niseme kabisa, ninayo kila sababu ya kuisifu JF. Liwe ni wazo zuri au baya kila ninapoomba ushauri/mongozo nilipata majibu mazuri sana. Niliwahi kusoma thread ya mtu 1 aliyetoa ushauri jinsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.