JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Tumsifu yesu kristo wakuu!!kuna mdada mmoja 2nasoma wote chuo kimoja,kuna kipindi flani ilitokea akawa ameuwawa{kaishiwa pesa} akaja akantel nimkopeshe kiasi flan hvi kwa makubaliano kwamba aftr 2...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Pengine hili hujui si kwambii uachane nao la hasha omba umwone dk akusaidie kuna mabinti na makaka wengi masuperstar wameteseka sababu ya kkumwa magonjwa ya zinaa mara kwa mara na wengine kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views

happy
Eid
Day

hug and wishes 2 all jamii f, may this holy day bring happiness and blessing
0 Reactions
1 Replies
1K Views
nina mpenzi ambaye ni mkubwa kiumri miaka kama 7.je nimuoe
0 Reactions
17 Replies
2K Views
dah...! wazee kuna washkaji flani tunaenda kupiga nao story..! sasa jamaa wana mlinzi mmasai flani hivi..! yule jamaa bwana nilijua anatania kumbe ndivyo alivyokua anafahamu yani tulishangaa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
panya alimkanyaga nyoka, mazungumzo yakawa hivii, nyoka: dogo vipi mbona unanikanyaga? panya: sorry brother bahati mbaya, nyoka: lione toto dogo madevu kibao, panya: ahh! mambo gani we kubwa zima...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Kuna habari kuwa baada ya baraza la mpito NTC kutangaza kitita cha midola kibao kwa atakaye muua au kumkamata Ghadaffi, jamaa katuma meseji ifuatayo kwa kiongozi wa baraza hilo. aisee baba angu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sijui kama ni mimi tu lakini kuanzia mwezi huu wa nane nimeanza kusikia sana watu wenye majina haya zaidi ya muda wote maishani mwangu, ukikaa Bar utasikia 'we Masaburi tuu utaniambia nini' ...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mama mmoja baada ya purukushani na kukurukakara nyingi,alifanikiwa kuingia ndani ya DSM la ubungo-g/mboto.Mama alipoingia ndani ya daladala alidaka chuma la juu kuji-support bila hata kuangaza...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
price of the dress. Lady: what is the price of this dress? Salesman: 5 kisses Lady: what is the price of that dress? Salesman: 10 kisses Lady: OK pack both of them & bill will be paid by my...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
"i hate love, but i must love because god gave me love, how can i escape from threat of lov??? This is by loving someone who is out of my head and out of my site..... I advise you to do as i."!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
bosi mmoja alikua na ofisi yake na siku moja alipo kua anaingia ofisini akamkuta messanger anakiss( kula denda) na secretary wake.. basi bosi kwa hasira na sauti kubwaa akamwuliza messanger.."...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo wakati najikumbushia program fulani ya computer nilikutana na formula ya kupata mwezi wa pili una siku ngapi kati ya 29 au 28 katika mwaka husika. Nimejiuliza sana ....hivi kama ulizaa mtoto...
0 Reactions
2 Replies
997 Views
(1)shinyanga;Hii imemkuta baba yangu mkubwa enzi za ujana wake,mara ya kwanza alikuwa anachunga mbuzi huko kishapu shinyanga.Mara baada ya kuona mbuzi wameshiba,aliamua kupiga usingizi ili kuvuta...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
hii ni live yani..! leo asubuhi nilikua kwenye kakazi fulani hivi asubuhi mitaa ya home kwetu tanga uswahilini hukooo sahare...! jamaa mmoja inavyoelekea jana yake alikua amelewa kinyama na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kesho ni holiday natafuta wa kuinjoy nae napiga simu kwa asha huyu ni rafiki yangu anafanya kazi ,ananiuliza una hela? mara nyingi wkendi huwa naenda kukaa kwake narudi kwangu jpili jioni yeye ni...
1 Reactions
57 Replies
5K Views
Jana nilikutana na ka-window 7 kangu mahali fulanifulani ili tujaribu kuintall software yangu...bwana bwana.....nilikapeleka lodge fulani sikutegemea kanafahamika sana yaani ile kufika tu mhudumu...
1 Reactions
39 Replies
4K Views
Jaman kama kuna mahala umeonekana tujuzeni.... Kesho mapumziko au? sijielewi elewi..........
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Source: Yahoo friends Sleeping Alawansi iongezwe? Au tutajikatia wenyewe. Duh hii kiboko No.1 Naibu Spika naye kauchapa No.2 Nambari wani naye yuko bize No.3, Tyson naye anajitetea...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
What's the difference between a bird and a fly? A bird can fly but a fly can't bird.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom