JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jana kuna dada aliinama kwenye daladala sijuh alikuwa anaokota nini huku nyuma nguo ikafunuka kucheki mkanda wa chupi umeandikwa hivo.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Walianza maji tukakubali kwa ahadi,wakaji umeme tukazoea,ikawa mafuta ikawa ni kuamka alfajiri kuwai foleni. Chonde chonde msije mkaingia kwenye bia maana hizo ndo zinatupotezea mawazo.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tuesday Feb 24, 2009 Varsity sacks Kenyan impostor PIUS RUGONZIBWA, 24th February 2009 @ 10:07 Management of St John’s University in Dodoma has sacked Kenyan Paul Maweu, who the...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
mimi ndugu yenu, nilipotea kwa muda. Mime pata mchumba binti wa miaka 22, ni mwenyeji wa same (mpare), msomi wa shahada nani mjasiliamali (enterprenuer) pia. Tabia za watu hawa sizifamu vyema...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Jamaa mmoja mzungu alikuwa anakatiza gengeni na nyani wake, yule nyani akanyakua ndizi na kula, mwenye genge (a black man by the way) aka mind, yule mzungu akamwambia unalalamika nini na hali...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1. Akiamua kutulia ameamua 2. Hana aibu za ajabuajabu 3. Bikra yeye atataka kuonja kidogo nje, kicheche hatahisi kama kuna kipya 4. Ana uzoefu wa kutongozwa kwa style nyingi, hataona jipya...
1 Reactions
67 Replies
7K Views
Mzee mmoja mpenda vibinti alianza kumsumbua hausgal wake akitaka mambo ye2 yalee! Baada ya kusomeshwa bint akaelekea kwa bed, zee lkataka kutumia condom lkn hausgal alvyoona vile akamwambia "mi...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Padri alikuwa anafuga kuku, siiku moja jogoo akapotea, akaamua kutangaza kanisani. PADRI Wangapi wana Jogoo? Wanaume wote wakasimama. PADRI Wangapi wameona Jogoo? Wanawake wote...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
kuna kazi zingine ngumu.... kazi ya kupiga picha ilinishinda kkwa kweli...lol
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakati mwingine askari polisi wa usalama barabarani wanashindwa kukaa barabarani badala yake wanajificha kwenye vibanda kuvizia madereva wafanye kosa ili waombe “posho”. Wiki iliyopita nilikuwa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya kumsikiliza Simon Kisena akipangua maswali huku na kule kama kipa wa Bacelona na kujiridhisha kuwa hatumii masaburi kufikiri na yuko fiti kumkichwa napendekeza jiji la dar libinafsishwe...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
A Mom visits her son for dinner who lives with a girl roommate. During the course of the meal, his mother couldn't help but notice how pretty his roommate was. She had long been suspicious of a...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Hivi wabunge waliokubali kwenda na ndege zilizotolewa na kampuni ya uchimbaji madini ya Barick kwaajili ya uchunguzi wa shughuli za mgodi huo wametoa mfano gani kwa taifa,hiyo si rushwa?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Assume you were Mh Speaker. You have a contentious budget estimates to be debated after they have been withdrawn to avoid been blocked. You know ‘your party’ was embarrassed by the withdrawal and...
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Hili ni swali... kwa ninavyojua mimi shela (vazi jeupe lenye kifuniko..) ya harusi huvaliwa na mwanamke "bikira" wakati wa kufunga ndoa.. ila siku hizi hata wenye mimba za miezi tisa wanavaa na...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Kwa sisi old skool tunakumbuka IKARUS buses hapa DSM under Usafiri Dar Es Salaam. Tukumbuke model hii ya transport ,wakati huo ndio iliyopo miji mikuu ya civilised countries. Huwezi kuwa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Leo nikiwa nafatilia mechi ya Simba na AFC Leopard ya kenya ghafla aliingia aliekuwa diwani wa kata ya Elerai kwa tiketi ya CHADEMA (Bayo) kilichofata ni kurushiwa matusi kama **** wewe huna...
7 Reactions
52 Replies
5K Views
Mwanangu siku moja aliniuliza "Hivi JK ni Rais wa Daslam au Waziri wa mambo ya nje?" Sasa sijui aliipata wapi hiyo coz hata sisi watu wazima hatumwelewi huyu Mkuu wetu.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
kuna tetesi zinasema kuwa mmoja wa wagombea uenyekiti wa bavicha John heche ana umri wa miaka 30 ilhali hata mdogo wake wa damu Chacha heche naye ana niaka 30, je ni kweli kuwa hao ndugu ni...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Ukimya wa W.J Malecela unatutisha tulizoea kubishana nae humu na kubadilishana mawazo au CCM wamempiga BAN ?
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom