ni kinda langu rangi lenye rangi ya chungwa
viungo vyake na mwendo vinanichosha ..nachoka kabisaaa
nashindwa nyumbani kwao wamezingira ukali..nachoka kabisaaaaaaa
Nobody teaches volcanoes to erupt,
Tsunami to arise,
Hurricanes to sway around,
Nobody teaches how to choose a wife
Natural disaster just happen !!!!!!!!!!!
Habari wadau
Msimu huu wa sikukuu za kuzaliwa bwana ningependa tujikumbushe nyimbo nzuri za kusikiliza na familia
Mimi za kwangu ni hizi
1. The first Noel
2. Jingle bell rock
3. Hark the...
Baadhi hula kila chakula kwa pilipili, hawa watu wanakosa mengi sana kwenye chakula, hawajui hata ladha ya chakula ni ipi wanajua ladha ya pilipili tu, unakuta mtu msosi mpya wa nguvu anajaza...
Pamoja na kwamba mapenzi ni raha na ngono ni tamu, ila realistically speaking haina faida yoyote kipesa, mpaka sasa ukweli ni kwamba ngono ni miyeyusho sana bora kwenye pombe kuna michongo ya...
Kuna Baadhi ya Kazi Mtu akifanya ususani Tanzania mtaa mzima mtajua Fulani anafanya kazi Fulani kwanza wanapenda sifa. Je, kwa mtaani kwako unakoishi ni watu wa kazi gani huwa wanapenda sifa...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, yatakuwa ni mashindano ya mtu atakayekuwa wa kwanza kuwatakia wana jf heri ya mwaka mpya 01/01/2023 saa 00:00 dk 0 sec 0 jinsi ya kushiriki nikukutana...
Wakuu leo katika kuangalia jezi mpya za Simba walizozindua leo kuna alama ya goli 5 walizofungwa na watani wao Wananchi, kwa taarifa tu ni kuwa goli hizo 5 ni mali ya Yanga na wamepanga kwenda...