JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
A man killed himself and ran away. photos coming soon.....
0 Reactions
1 Replies
1K Views
A.K.A (A.K.A Worldwide) ni msanii maarufu kutoka Cape Town South Africa ambae miezi michache iliopita alialikwa jijini Dar es salaam kuperform kwenye party ilioshika headlines kubwa; Zari All...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Mtu anazuga hali viazi vitamu halafu ukimpa chipsi anakula wakati chipsi zenyewe ni viazi!!!
0 Reactions
1 Replies
630 Views
Hata watangaze nia watu mia nane,rais anatakiwa mmoja tu! Kati ya hawa kura yako unampa nani? 1. F. Mbowe 2. B. Membe 3. Dr. Slaa 4. l. Lipumba 5. J. Makamba 6. Z. Kabwe 7. E. Lowassa 8. M...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Hivi jf ina jumla ya members wangapi?
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Zifutazo ni tabia za vijana wanaoendesha gari za shemeji zao:- I. Lazima washushe vioo mpaka chini kabisa kisha wanaweka kishoka. II. Lazima waweke sauti kubwa sana ya radio yaani makelele...
8 Reactions
53 Replies
7K Views
Wakuu, Kwa unavyodhani, baaada ya Watanzania kadhaa kutangaza nia, yupi anasikiliza wimbo gani muda huu ama ameweka ringtone gani kwa sasa? Unadhani kati ya wafuatao yupi anasikiliza wimbo upi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Goodmorning all
0 Reactions
4 Replies
878 Views
Habari zenu ndugu zangu wa JF, Kama tunavyojua umu JF wengi tunatumia ID fake na niwachache sana wanaofahamiana ndani na nje ya JF.Unaweza kuta mtu unamfahamu nje ya JF, lakini ndani ya JF...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Jana nimeenda kuonana na mwanamke mmoja ambae tumekua marafiki kwa mwezi mmoja ndani ya JF, tulishapeana namba za simu siku nyingi na huwa tuna chat whatsaap. Sasa nikaingiwa na uroho wa kutaka...
5 Reactions
44 Replies
5K Views
Duh leo nimekaa nimemis pombe za bure leo weekend watu mnakaje nyumbani tokeni ata njee tu mtembee labda utapata pombe za bure mimi nipo hapa kitambaa cheupe nasubilia 😂
4 Reactions
77 Replies
3K Views
Umofya kwenu members! Umofya tena !!! Niende moja kwa moja kwenye mada, Baada ya kufanya utafiti mdogo nimegundua baadhi ya watu kushinda mitandaoni muda mwingi si asubuhi mchana wala jioni...
21 Reactions
204 Replies
7K Views
Najua itakua msaada na kwa wengine pia hofu yangu nahisi hawa watu wakiwa na tabia hizi ndo mwanzo wa mpasuko kwenye ndoa Asante
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Taarifa iliyovuja toka Top Cuf Officers! Wanamwombea Rais wa Muungano awe Lowassa na si mwingine.
1 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa wale walio soma Kiluvya secondary tukutane hapa ili kujuzana yale yaliyo wahi kutokea enzi upo Kiluvya secondary na ni kitu gani ambacho unakikumbuka kutoka KVSS na mwaka ambao ulisoma hapo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wadau, Yaani nimepata mtoto mmojaa wa kachanganya damu . Ni mzuri balaa halafu papuchii ni mnato kwelli. Tatizo huyu mchepuko wangu anapenda kula ugali wa dona hata sahani tatu.Imagine juzi...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Sera ya mapenzi kwa vipindi tofauti MIAKA YA 1986--1990 hapa utaambiwa ...Nimekubali ila usimwambie mtu MIAKA YA 1991--1995 Hapa utaambiwa nimekubali ila namwogopa baba na mama watajua ...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1.) Diamond platnumz - ngololo 2.) Samir - Kinyulinyuli 3.) Dogo asly - Ya moto 4.) Chege 5.) Juma nature 6.) Afande sele 7.) Suma G 8.) ...., ongezea..
0 Reactions
39 Replies
9K Views
Ujue kuna ID nyingine ukiziangalia unajisikia kucheka unaweza kujiuliza huyo mwenye ID alikosa ID wakati wa kuchagua au Mimi kuna ID tatu zinazo ni staajabisha nazo ni kakajambazi , kakajambaz JR...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA TAARIFA KWA UMMA TAHADHARI DHIDI YA UHALIFU UNAOFANYWA KUTUMIA SIMU ZA MKONONI Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kwa kuzingatia kifungu 5 (b) na (e) cha...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom